ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hio ndio sehemu maskini wa kenya wanaishi au sio 🤣🤣🤣🤣 na wale 2.5m kibera ni sokwe na nyani au sioNioneshe mtaa wa uswazi kama huu dar nifunge account.👇 👇 😁
View attachment 1820548
Hio ndio sehemu maskini wa kenya wanaishi au sio 🤣🤣🤣🤣 na wale 2.5m kibera ni sokwe na nyani au sioNioneshe mtaa wa uswazi kama huu dar nifunge account.👇 👇 😁
View attachment 1820548
Hio ndio interchange ya kenya standards 🤣🤣 is that interchange au overpass??wakati dar ikisubiri msaada, syongila interchange, ukambaniView attachment 1820582
View attachment 1820579View attachment 1820580
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 magomeni yenyewe ina concentration kubwa sana kuliko huo ushuzi tatizo wewe dar bado inakunyima usingiziKijana wa Tandale si unasumbuka!! Nilisema mlete concentration kama hiyo nje ya cbd yenu. Kama unajua hauna jibu si unyamaze tu?
Sisi tunajenga kutokana na mahitaji sio nyinyi munainhia kwenyw mikopo kueka overpass kwenyw sehemu hakuna uhitaji, mbaya zaidi overpass zenyewe sasa za kupanga tofali juu🤣🤣🤣🤣 nani aliwaroga nyinyiYani hadi Kitui iko na interchange, kitu ambayo bado ni ndoto hata kwa Mwanza! 😂 😂
Mgoja tuamini kidogo 🤣🤣👇👇👇👇 hebu tufananishe na huu uharo tuone kwann mzungu hawezi kua mjingaWhat do you expect wakati a few meters kutoka pale picha ilipopigwa unakutana na huu uwanja wa dhambi
View attachment 1820697
View attachment 1820787
Moja ya hizo magorofa amepiga picha mara kumi ndio ile inaonekana in the background on the left kwenye picha ya kwanza
Si utuonyeshe hiyo concentration ya Magomeni tuone. Mbona unabweka kwa unyonge kama mbwa asiye na meno?🤣🤣🤣🤣🤣🤣 magomeni yenyewe ina concentration kubwa sana kuliko huo ushuzi tatizo wewe dar bado inakunyima usingizi
Kenya is borrowing Peter to pay Paul
Wao walidhani BRT ni kama kula omenaa 🤣🤣🤣🤣 na washajua wamefeli leo miaka mitatu sasaUnadai hivyo vituo kuna cha kushukia tu na cha kupandia tu,hivi ushawahi kuona system ya brt inavyofanyanya kazi?
🤣🤣🤣🤣🤣Si utuonyeshe hiyo concentration ya Magomeni tuone. Mbona unabweka na unyonge kama mbwa hana meno?
Dar isikunyime usingizi 🤣🤣 jengeni nairobi bado sana mzeeSi utuonyeshe hiyo concentration ya Magomeni tuone. Mbona unabweka kwa unyonge kama mbwa asiye na meno?
Excuses galore! Alokuambia sisi hatufanyi kulingana na mahitaji yetu ni nani? Wewe unaishi hapo Kitui unajua kwamba hiyo interchange haitajiki hapo? Yani wewe kila kitu ni sasa tu. So unataka kutuambia kwamba Mwanza ambayo ndio jiji lenu la pili kwa ukubwa halijakuwa na mahitaji ya interchanges?Sisi tunajenga kutokana na mahitaji sio nyinyi munainhia kwenyw mikopo kueka overpass kwenyw sehemu hakuna uhitaji, mbaya zaidi overpass zenyewe sasa za kupanga tofali juu🤣🤣🤣🤣 nani aliwaroga nyinyi
Nilishakwambia tanzania hujenga kitu kwa mahitaji sisi hatukurupuki ovyo 🤣🤣 ww unaeza nipa faida ya ile overpass imejengwa between njia ya kwenda eledoret na kericho?? 😄😄😄 nimepita hio barabara ndio nikagundua kwann mumefeli nyinyiExcuses galore! Alokuambia sisi hatufanyi kulingana na mahitaji yetu ni nani? Wewe unaishi hapo Kitui unajua kwamba hiyo interchange haitajiki hapo? Yani wewe kila kitu ni sasa tu. So unataka kutuambia kwamba Mwanza ambayo ndio jiji lenu la pili kwa ukubwa halijakuwa na mahitaji ya interchanges?
Inabwaga nyuma inapandisha mbele mzee, na ya upande ule mwngine nayo wataifanyia mbinu hyo hyoUnadai hivyo vituo kuna cha kushukia tu na cha kupandia tu,hivi ushawahi kuona system ya brt inavyofanyanya kazi?
Mwanza ni jiji, tena mwanza ni jiji kubwa na uzuri wa mwanza bara bara ni nyingi sana za mitaa ndio kinachofanya foleni isiwepo na pia over 90% ya street za mwanza zote paved roads na pili mwanza ina over 15km 4 ways from airport to CBD, na bado kuna barabara nyingi sana zinatanuliwa 🤣🤣🤣 toeni akili chafu kwamba ukiwa na ile overpass ya kupanga tofali juu basi ndio ushamalizaExcuses galore! Alokuambia sisi hatufanyi kulingana na mahitaji yetu ni nani? Wewe unaishi hapo Kitui unajua kwamba hiyo interchange haitajiki hapo? Yani wewe kila kitu ni sasa tu. So unataka kutuambia kwamba Mwanza ambayo ndio jiji lenu la pili kwa ukubwa halijakuwa na mahitaji ya interchanges?
Majengo ya serekali mbele kidogo uswazi kuruka



Jamaa analeta majengo ya serekali tuDar isikunyime usingizijengeni nairobi bado sana mzee
Na hii ni magomeni mapipa na mikumi tu bado hata robo ya magomeni hatujafika
View attachment 1820950View attachment 1820951View attachment 1820952View attachment 1820953View attachment 1820954View attachment 1820956
Hebu nikuulize swali ile old design flyover ambayo iko pale kondole kisumu hupitisha gari ngap kwa siku?? Just be frank🤣🤣🤣 yani nilicheka sanaExcuses galore! Alokuambia sisi hatufanyi kulingana na mahitaji yetu ni nani? Wewe unaishi hapo Kitui unajua kwamba hiyo interchange haitajiki hapo? Yani wewe kila kitu ni sasa tu. So unataka kutuambia kwamba Mwanza ambayo ndio jiji lenu la pili kwa ukubwa halijakuwa na mahitaji ya interchanges?
Mwanza haina uhitaji wa internchanges mzeeExcuses galore! Alokuambia sisi hatufanyi kulingana na mahitaji yetu ni nani? Wewe unaishi hapo Kitui unajua kwamba hiyo interchange haitajiki hapo? Yani wewe kila kitu ni sasa tu. So unataka kutuambia kwamba Mwanza ambayo ndio jiji lenu la pili kwa ukubwa halijakuwa na mahitaji ya interchanges?


