Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Lakini usisahau tanzania haitegemei kitu kimoja kama source of income kuna mazao mengi sana ambazo zinaingiza pesa nyingi kwa serekali na pia kuna utalii na bandari etc
Yah Hapo ndio naipa tz nafasi kwamba in the next 5 years kuna watu watatuskia kwenye bomba tuu maanake we have not even halfley exploited our mining sector ata robo ukiachilia mbali kilimo, sasa tunaweka miundombinu sawa

