Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Serikali gani ya kipuuzi haijawahi kutimiza ahadi iliyosema, yn ni upuuzi kushoto kulia, serikali imejaza wajinga kwenye system, hakuna agizo hata moja lililofanyiwa kazi ni upuuzi tu na kutembelea nyota ya JPM.
Apo kwenye magizo kutofanyiwa kazi...kiukweli imekuwa kama kasumba sasa sijui tatizo nin?
 
CCM iwe tayari nayo siku ikinyukwa si kuwa bingwa wa kusimamia mabadiliko nchi nyingine tu!
Kwani apo zambia aliye chukua nchi ni mpinzani ? Apo akuna kilicho badilika zaidi ya walio kuwa chama tawala wamerudi madarakani....swali la msingi ni kwanini Zambia chama cha upinzani kimeshindwa kutimiza majukumu? Vyama vya upinzani Tz vina kitu cha kujifunza apo....
 
Mkuu mbona umewaka hivyoo[emoji1787][emoji1787]
 
Ivi ww iyo ubongo wako inafany nini hasa ya mana...?kwanza niambie ni wapi serikali haijawekeza Tz hii kuanzia majini,angani ardhini tena hapa ni kwa rail na barabara
Kwa miaka mitano zimejengwa km 3500 unaweza niambia nini ww kizuuu ...apo Ghana kitu wamefanya ni kujenga interchange na accra na kumasi kwaiyo kwa iyo kichwa ya funza unaona ndio tumezidiwa?
Umeme umenezwa mpka vijijini ww unasema nini?
Kwaiyo kwa akili yako mtumba sabab rail ya kenya ni ghali kuliko ya Tz manake kenya uchumi umekuwa?
Wacha kujingiza kwenye vitu usivyo kuwa na uelewa navyo
 
Wadau wa ndege wanasema mama ana komoa nchi kwa makusudi mzanzibar awezi kujali JMT hata siku moja sijui kama hii miaka 4 iliyo baki atamaliza
maana hadi kwenye majeshi ameanza kuchukiwa sana very very soon kunakitu kitatokea
Izi ni kashfa kubwa mzee zinaitaji uthibitisho
 
Ghana ni kama uganda tu anglia video za miji yao mikuu utacheka hakuna uchumi wa kweli ni makaratasi tu

Wale jombi wanauza dhahabu na kokoa sio mchezo mzee Ghana wapo vizuri ondoa wivu anglia kwa jicho la uhalisia
 
Maji yanatoka siku mbili kwa wiki thus y vibanda vingi vimeamua kufungua viwanda vya mapipa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We ni mshamba mzee, eti kisha hapo unajisifia ya kwamba una nyumba wakati hujui hayo mapipa kazi yake ni gani[emoji1787][emoji1787]
Pole sana
 
Wale jombi wanauza dhahabu na kokoa sio mchezo mzee Ghana wapo vizuri ondoa wivu anglia kwa jicho la uhalisia
Hamna nchi ina mfumo mbovu wa Uchumi kama Ghana umesahau wanazalisha mafuta pia ila wana debt to GDP ratio ya around 75% yaani wanashindana na Kunyaland! Pitia sources uone!





 
We mgao wa umeme bongo unajifanya umesahau eeh labda kama hukai bongo mzee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukisikia mwehu ndio huyu sasa
 

Wewe jombi unaanza vizuri then unaboronga katkat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…