Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
Tz kuna aina nyingi za miziki, Diamond siyo msanii pekee anayependwa... kuna wengine wanapenda kusikiliza mchiriku tuu (Singeli) wala hawana habari na miziki ya kizazi kipya.Si mlisema mna watumizi wa internet wengi kuliko Kenya juu Diamond ako na views nyingi, sasa mbona Diamond mwenyewe naona views zake most ni za Kenya. 🤣 🤣 🤣
Size yake hio turkana👇👇Hii yenu pambanisha na majengo ya halmashauri ndogondogo za TZ
View attachment 1893833
View attachment 1893834
Chief sina huo muda ila endelea kuchungulia uzi majibu utayapata taratibuNataka hiyo misaada ya Kenya,weka ushahidi nikuchambulie.
Pili ni kweli LDC ana fursa ya misaada yenye masharti nafuu zaidi na kubebwa ila tuu anakuwa anaamliwa cha kufanya au kushauriwa na waliokupa hiyo misaada tofauti na asiye LDC.
😲🙈maajabuKing wa morroco alipofika dar, walimuomba wajengewee msikiti mkubwa sana😂😂😂😂
Kama tungekua kwenye mashindano wewe hapa tungesema umeangukia kwenye korongoSize yake hio turkana👇👇View attachment 1893836
Ndo elewa hivyo hivyo ukiandika upumbavu nitakukoti kama kawaida unfortunately huna cha kunifanya kama ambavyo mlishindwa cha kunifanya toka enzi napambana na mume wenu.Nakupa warning usirudie kunikot, tafadhali sn kwasababu mm nakuona wewe kama zuzu hueleweki kama popo mara una mabawa wakati huohuo una manyonyo.
Kama ni misaada ya njaa tayari hiyo ni janga la asili halina uhusiano na LDC au otherwiseChief sina huo muda ila endelea kuchungulia uzi majibu utayapata taratibu
Maneno ya mkosaji mwenye hasira kali😂Kama tungekua kwenye mashindano wewe hapa tungesema umeangukia kwenye korongo
Don't bother, wacha nikuache tu nisikupe air time cz wewe ni mbwa kama mbwa wengine tu.Ndo elewa hivyo hivyo ukiandika upumbavu nitakukoti kama kawaida unfortunately huna cha kunifanya kama ambavyo mlishindwa cha kunifanya toka enzi napambana na mume wenu.
Huo upumbavu wako uliuanza kuusema siku nyingi Sana na hakuna ulichofanya wewe na wafuasi wako mara ulilie mods mara ulilie wa kukuunga mkono na mikwara mingi ya wavaa sketi.
Nasisitiza sijabadili ku refute miradi ya kipumbavu iliyoanzishwa na mume wenu na sera mbovu za Uchumi wa kijamaa ndio maana kwa sasa zimepewa kidogo.
nyumba ya Governor wa koloni la Uingereza linaloitwa Kenya!Alafu madirisha kwao ni anasa, ona vidirisha vya icho choo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1893741
One is 🔥🔥another one is🚮🚮
Tz kuna aina nyingi za miziki, Diamond siyo msanii pekee anayependwa... kuna wengine wanapenda kusikiliza mchiriku tuu (Singeli) wala hawana habari na miziki ya kizazi kipya.
Mbona hamkusema hivo wakati mlikuwa mnatumia views zake kusema mna internet penetration nyingi kuliko Kenya?😀 Bongo kuna wasanii wengi + competition ya Diamond na AliKiba baadhi ya mashabiki kujiepusha kumuongezea views rival