Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

johannesburg, cape town, durban were built by whites and they are sophisticated, and so are we, nairobi nakuru kisumu. whts wrong with that!?

this kisumu photo for instance speaks volumes of having a muzungu as your planner View attachment 1869603kisumu cbd was planned more than a hundred yrs ago. tht dream is now starting to get realized. kisumu is bound to grow to a Megapolis atleast by 2050
Sasa apo unaona nn cha kutisha?
 
hapa ilibidi nyambizi na ferry! nakumbuka hiyo siku nilipigwa ban na uzi wangu kubadilishwa title na kurushwa 'jamii photos'. Simu ilitoka ikulu direct, hawa ma buku saba wa ccm walikula viboko huko ikulu sababu ya huo uzi.

View attachment 1869536
Hii hali ilitokea wakati tunajenga TB 3 wajua tena mifereji huwa inakuwa kitu cha mwisho mwisho Kipindi hiki mvua zilikuwa kubwa sana so hesabu za ku diverge maji kwenda kwenye ponds zilizidiwa!it happens kwenye construction sites especially kwenye miradi mikubwa kama hii, vipi umeshawahi kuona miaka hii ya karibuni tena?!!!!Relax!!!.Pata kahawa inasaidia kuamsha ubongo ufikiri vizuri!!
 
hapa ilibidi nyambizi na ferry! nakumbuka hiyo siku nilipigwa ban na uzi wangu kubadilishwa title na kurushwa 'jamii photos'. Simu ilitoka ikulu direct, hawa ma buku saba wa ccm walikula viboko huko ikulu sababu ya huo uzi.

View attachment 1869536
Huku Jomo Kenyatta International Airport mbona kila siku!












Kuna hili pia




na kuna hili pia radar ikaharibika tena
 
Ndio hizo,zanzibar inapora soko la utalii la cyprus na thailand taratibu
ila Thailand baba si rahisi! Kama unajua utalii wa Thailand vizuri ngoja janga la UVIKO19 liishe! Wale wako so advanced in tourism hamna comparison duniani! Tunachoweza kufanya ni kushirikiana nao! Ukiacha beach tourism, cuisine na exotic places, kumbuka wateja wao kwa kiasi kikubwa ni midume (vizee na vijana) na hao Wazungu wanaenda kwa sex tourism pia! Na kule wana-offer superior service! Superior thai massage parlour , thai foods restaurants and eateries zipo kebekebe kule hata ulaya 🤣 🤣

 
ila Thailand baba si rahisi! Kama unajua utalii wa Thailand vizuri ngoja janga la UVIKO19 liishe! Wale wako so advanced in tourism hamna comparison duniani! Tunachoweza kufanya ni kushirikiana nao! Kumbuka wateja wao ni mainly midume na hawa Wazungu wanapenda sex tourism pia! Na kule wana-offer superior service!
C19 imefanya warusi,waukraine na wapoland wajue kama zanzibar kuna blue safari na ni safe pia,na hao wengi wao ndio soko kuu kwa utalii wa thailand na some asian countries,vivutio vyao avipishani sana na vya kwetu sema sie atujitangazi na vile vile kama ushafika east europe wanaongelea negative tu kuhusu africa hasa hasa usalama,jamaa walipoanza kuja wakakuta kila kitu tofauti na walivyoaminishwa,serikali ikijipanga mafia island kina sifa zote za kitalii (blue safari)sema ndio hivyo tunakichukulia poa
 

Venice manages to dodge UNESCO’s endangered list after ban on large ships​


TIMESOFINDIA.COM|TRAVEL NEWS, VENICECreated : Jul 24, 2021, 08.00 IST

Venice manages to dodge UNESCO’s endangered list after ban on large ships


Following Italy's ban on large cruise ships from sailing through the city's historic centre, Venice has just managed to evade putting its lagoon environment on the danger list of UNESCO World Heritage Site.

As per the reports, the committee that met in China has instead asked Italy to submit an update on efforts that it is taking to protect Venice from population decline, excessive tourism, and more.

Reportedly, in a move to save its lagoon from being tagged in the danger list, the Italian Government pledged to reroute big cruise ships from the city's historic centre to an industrial port still within the Venice lagoon. The same would come into effect from August 1.

Italian Culture Minister Dario Franceschini, while welcoming UNESCO's decision, credited the government's move to ban ships from Venice waterways facing Doges Palace and St. Mark's Basilica.

Venice manages to dodge UNESCO’s endangered list after ban on large ships


Reports have it that the passage of ships through Giudecca Canal and St. Mark's Basin, which recently opened after a long pandemic pause, was among the reasons that UNESCO cited for listing Venice's status as at risk.

The Culture Minister stated that the global attention on Venice must remain high now, and it is everyone's duty to work for the protection of the lagoon and identify a sustainable development path for this unique reality.

However, as per various non-governmental groups, the ban on cruise ships only addressed one of the many issues threatening Venice, which include controlling urban development, over-tourism, and the management of cultural and natural resources.

The groups further added that long-term plans have not been yet to manage the ships, and the temporary decision to divert cruise ships in the industrial port of Marghera still endanger the lagoon.

 
Yap, nakumbuka wale watalii wa kirusi waliopanza kuja Zenji walikuwa wanasema zamani walikuwa wanaenda Thai...
Ndio mkuu,warusi ndio mhimili wa soko la utalii kwa thai na cyprus,kikubwa tour guide wetu wapewe elimu kubwa sana waache vizinga na wizi mdogo mdogo,usafi wa mitaa n.k,tutapindua meza kibabe bro
 
C19 imefanya warusi,waukraine na wapoland wajue kama zanzibar kuna blue safari na ni safe pia,na hao wengi wao ndio soko kuu kwa utalii wa thailand na some asian countries,vivutio vyao avipishani sana na vya kwetu sema sie atujitangazi na vile vile kama ushafika east europe wanaongelea negative tu kuhusu africa hasa hasa usalama,jamaa walipoanza kuja wakakuta kila kitu tofauti na walivyoaminishwa,serikali ikijipanga mafia island kina sifa zote za kitalii (blue safari)sema ndio hivyo tunakichukulia poa
For exotic places and beach tourism, yes ilaaa...! Wacha kabisa kwenye ushawishi (promotion) wao! Kama ushaishi Ulaya au Marekani angalia lifestyle ya Thailand ilivyojengeka ndani yao ukienda travelling agency, 60% ya banners ni juu ya Thailand! halafu promo yao inaanzia majumbani mwao hao Wazungu! Haipiti wiki wamekula Thai foods (noodles e.tc.) na kwa mijeba kama si kwenda Thai massage wataenda brothel ikifika summer wanaenda kabisa huko Phukhet ama Bangkok!

Tunapaswa kujitahidi haswa kwenye swala la ku-market swahili language na -cuisine huko kwao! Thai tourism haina mpinzani duniani nenda tourism exhibitions uone wanavyochukua ma-hall makubwa makubwa na kushinda awards! Tuhakikishe zile kampuni zao zinakuja Zanzibar na pia spice tag iwe marketed sioni ikitumika kwenye tourism exhibitions kabisaa!! Kuna kampuni ya ki-thai ya Elewana ipo Tanzania wahakikishe zinakuja nyingine nyingi! Ila kushindana nao sijui kama tutawaweza!!


IMHO...! Tena Air Tanzania ina route ya Bangkok Thailand kuelekea/kutoka Guanghzou China...





 
Back
Top Bottom