Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee mbona unang'ang'ana sana na masuala ya chanjo!? Unakumbuka last time uliniambia maneno mabaya sana. Niliweka kisiwa kilichopo bagamoyo.

Kwanini wewe huheshimu battle hii!? Masuala ya chanjo yanahusika vipi na battle!?
battle ya kupambana ugonjwa wa covid19! Nishakukanya jana uachane na post za kuelimisha husikii! Wewe kama huamini ugonjwa wa corona baki hivyo! Sijui upotoshaji upo wapi kwenye post zangu? Mimi naelismisha humu pia! anzisha thread yako halafu useme hivyo!

Ndio mkuu,warusi ndio mhimili wa soko la utalii kwa thai na cyprus,kikubwa tour guide wetu wapewe elimu kubwa sana waache vizinga na wizi mdogo mdogo,usafi wa mitaa n.k,tutapindua meza kibabe bro
Pia wadau wa utalii wawekeze kwenye cultural tourism. Kuwe na joints za kibabe za ku mingle kati ya foreigners na local community. Sio mtalii anatoka kwenye first world anakuja anaishia kwenye 5 stars hotel and bars.. Anaenda mbugani then anarudi Kwao.

Sasa huko akiulizwa wa Afrika wanaishi vipi au wapi atajibu nini? Mahotelini anakutana na wageni wenzake na Africans wachache tena wafanyakazi labda.. Hivyo anashindwa kujua culture yetu na vile tunaishi.

Nchi yetu ni friendly na amani ya kutosha.. Hawa watalii wajae mitaani huko wafurahie mazingira na kujichanganya na jamii.
 
battle ya kupambana ugonjwa wa covid19! Nishakukanya jana uachane na post za kuelimisha husikii! Wewe kama huamini ugonjwa wa corona baki hivyo! Sijui upotoshaji upo wapi kwenye post zangu? Mimi naelismisha humu pia! anzisha thread yako halafu useme hivyo!
Wapi nimesema siamini. Nimekwambia hapa ni battle. Ukianza kuweka kila kitu utakuwa ni upumbavu. Nilikuonya last time kwamba kuna vitu hapa unaweka haviendani tunakuvumilia tu. Wewe ukanikazia, eti kwakuwa nimeweka kisiwa kilichopo bagamoyo. Ona sasa wewe unachokifanya. Unang'aka kwa hasira. Ukiwa unakosoa wenzako usijifanye wewe malaika hukosei. Ondoa tabia hiyo, hutaweza kuishi na watu kwakujifanya mjuaji.

Mkuki kwa nguruwe siyo. Unaonawewe upo right kwa kila kitu. Huo ni upuuzi. Jirekebishe.
 
Wapi nimesema siamini. Nimekwambia hapa ni battle. Ukianza kuweka kila kitu utakuwa ni upumbavu. Nilikuonya last time kwamba kuna vitu hapa unaweka haviendani tunakuvumilia tu.

Mkuki kwa nguruwe siyo. Unaonawewe upo right kwa kila kitu. Huo ni upuuzi. Jirekebishe.
Wewe usiniambie cha kufanya humu ndani! hii thread inakubalika kwa kila hoja! 👇 😡

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers

14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 
1627364710033.png

1627364729765.png

1627364769157.png

1627364793085.png

1627364808442.png

1627364822410.png

1627364842998.png

1627364860868.png

1627364877619.png

1627364897888.png

1627364942373.png

1627365031895.png

1627365053899.png

1627365103762.png

1627365205841.png

1627365253148.png

DAWA YA WA TZ NI KUWATANDIKA NA MA PHOTOS........MDOMO HATUWAWEZI...USWAHILI MOOOOOB
 
Mzee unakumbuka ulinitukana matusi ya nguoni!? Sasa haina maana tena ya battle kama unashupaza shingo tuweke kila jambo hapa. 🤣 🤣🤣. Chutama mzee usishupaze shingo.

Ujuaji mwingi mbele kiza.
leta evidence nilikutukana matusi ya nguoni! Mi nilikuambia uache kupotosha kama Teargas ! Ukawa king'ang'anizi wa kufoka! Ati nakuingilia mambo yako ukaja inbobo kunichimba biti! Wewe ni mtu wa data science halafu huoni umuhimu wa taarifa za COVID19 (public sensitization) na fight dhidi yake? Kwanza nani kakuambia nipo uchi mpaka nichutame!? 🤣 🤣 🙆‍♂️🤷‍♂️
 
Pia wadau wa utalii wawekeze kwenye cultural tourism. Kuwe na joints za kibabe za ku mingle kati ya foreigners na local community. Sio mtalii anatoka kwenye first world anakuja anaishia kwenye 5 stars hotel and bars.. Anaenda mbugani then anarudi Kwao.

Sasa huko akiulizwa wa Afrika wanaishi vipi au wapi atajibu nini? Mahotelini anakutana na wageni wenzake na Africans wachache tena wafanyakazi labda.. Hivyo anashindwa kujua culture yetu na vile tunaishi.

Nchi yetu ni friendly na amani ya kutosha.. Hawa watalii wajae mitaani huko wafurahie mazingira na kujichanganya na jamii.
Sure mkuu,sekta ya utalii igeukie kuitangaza mafia island,kile kisiwa kina sifa zote za kitalii,huko thai visiwa kama vile ndio wanavitangaza sana kitalii
 
Walisema abiria wote wameshuka Mombasa
mombasa hamna kitu bro,dar kama tutaamua kuitangaza kiutalii wa blue safari zaidi ya msa,kuanzia visiwa vya,bongoyo,mbudya na hata pale coco iwapo serikali itawezekeza,sasa huko kigamboni ndio kuna pwani nzuri mno pakiboreshwa,TZ tumelala sana upande wa utalii,watu wa serikali wamekariri utalii ni mbuga na mount kilimanjaro
 
For exotic places and beach tourism, yes ilaaa...! Wacha kabisa kwenye ushawishi (promotion) wao! Kama ushaishi Ulaya au Marekani angalia lifestyle ya Thailand ilivyojengeka ndani yao ukienda travelling agency, 60% ya banners ni juu ya Thailand! halafu promo yao inaanzia majumbani mwao hao Wazungu! Haipiti wiki wamekula Thai foods (noodles e.tc.) na kwa mijeba kama si kwenda Thai massage wataenda brothel ikifika summer wanaenda kabisa huko Phukhet ama Bangkok!

Tunapaswa kujitahidi haswa kwenye swala la ku-market swahili language na -cuisine huko kwao! Thai tourism haina mpinzani duniani nenda tourism exhibitions uone wanavyochukua ma-hall makubwa makubwa na kushinda awards! Tuhakikishe zile kampuni zao zinakuja Zanzibar na pia spice tag iwe marketed sioni ikitumika kwenye tourism exhibitions kabisaa!! Kuna kampuni ya ki-thai ya Elewana ipo Tanzania wahakikishe zinakuja nyingine nyingi! Ila kushindana nao sijui kama tutawaweza!!

IMHO...! Tena Air Tanzania ina route ya Bangkok Thailand kuelekea/kutoka Guanghzou China...

Jamaa wamewekeza sana kwenye utalii,uwekezaji kama ule uwekweze zanzibar na mafia aisee,serikali.ishtuke sasa aisee
 
Jamaa wamewekeza sana kwenye utalii,uwekezaji kama ule uwekweze zanzibar na mafia aisee,serikali.ishtuke sasa aisee
Halafu wako Africa wanajitanua na ndo maana nimesitisitiza kshirikiana nao maana kiutalii wako mbali!

leta evidence nilikutukana matusi ya nguoni! Mi nilikuambia uache kupotosha kama Teargas ! Ukawa king'ang'anizi wa kufoka! Ati nakuingilia mambo yako ukaja inbobo kunichimba biti! Wewe ni mtu wa data science halafu huoni umuhimu wa taarifa za COVID19 (public sensitization) na fight dhidi yake? Kwanza nani kakuambia nipo uchi mpaka nichutame!? 🤣 🤣 🙆‍♂️🤷‍♂️
Mzee unaanza kuomba misaada kwa wakenya. Achana na ushujaa kwenye mitandao buda.
Ni upumbavu kujiona eti wewe ndiye was kusahihisha wengine. Isitoshe mimi niliweka kisiwa cha lazy Lagoon kilichopo bagamoyo. Ulipiga kelele kweli.
Mzee unataka ushujaa kwenye mitandao!? Huo ni utoto Mzee.
Kama battle imekushinda kaa pembeni sio kuokoteza kila takataka hapa.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
 
Mzee unaanza kuomba misaada kwa wakenya. Achana na ushujaa kwenye mitandao buda.
Ni upumbavu kujiona eti wewe ndiye was kusahihisha wengine. Isitoshe mimi niliweka kisiwa cha lazy Lagoon kilichopo bagamoyo. Ulipiga kelele kweli.
Mzee unataka ushujaa kwenye mitandao!? Huo ni utoto Mzee.
Kama battle imekushinda kaa pembeni sio kuokoteza kila takataka hapa.
Tafuta cha kufanya na uache kupotosha! Lile swala liliisha na nishalisahau unless ilikuuma kuku-expose na ukaweka kinyongo! polee! Ukweli hubaki ukweli, kama unaringishia Dar then ringishia kwa fairplay na si kwa "Fallacy", kiufupi huwezi ukachukua Mlima Kilimanjaro ukadai upo Dar! Ni hilo tu...! Kumbuka wewe ni mmojawapo wa waliokuwa wakimcheka Teargas na picha yake ya minoti ya kuokoteza! yaani hata saahii ukidanganya nakufyatua tu and don't take it personal, yani unachukua hoteli za Zanzibar na Bagamoyo na kudai ziko Dar that can't be accepted, "SORRY", Mkenya akidai Mlima Kilimanjaro upo Kenya unapiga kelele humu mwezi mzima! 😉 🙏
 
mombasa hamna kitu bro,dar kama tutaamua kuitangaza kiutalii wa blue safari zaidi ya msa,kuanzia visiwa vya,bongoyo,mbudya na hata pale coco iwapo serikali itawezekeza,sasa huko kigamboni ndio kuna pwani nzuri mno pakiboreshwa,TZ tumelala sana upande wa utalii,watu wa serikali wamekariri utalii ni mbuga na mount kilimanjaro
Hoho mtaiweza mombasa kweli, size yenu lamu.
13914984_23634791586450721700_jpegd0d03b398ca990c47419054984bf2049.jpeg
 
Back
Top Bottom