Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yap!!! Airport zote mpya ma-architecture wanajiachia sana na design tofauti tofauti circle ni mtindo wa kale!!!Ndo maana Terminal yetu 3 ni one of a kind Afrika Mashariki na kati.Waache waseme!!!
Jengo kama hili la Kenya utaliona zuri kwa juu ila ukiingia ndani giza nowadays people need natural lights!!!! sijui kwa nini waliachana la lile sijui greenfield pathetic!!!!
 
Pedestrians walkways Downtown Dar es Salaam,
Clean and Classic
We built this city man, without nobody's help, or Grant's,
The City is 100% African, 100% Ours.
JamiiForums627916420.jpg
 
Pedestrians walkways Downtown Dar es Salaam,
Clean and Classic
We built this city man, without nobody's help, or Grant's,
The City is 100% African, 100% Ours. View attachment 1869380
City Lodge Upanga Dar es Salaam
Let's be proud of the City Built 100% by Tanzanians.
Hakuna Mchina wala Mzungu wa Taifa la uingereza anamiliki kitu hapa.
20210724_150020.jpg
 
Pedestrians walkways Downtown Dar es Salaam,
Clean and Classic
We built this city man, without nobody's help, or Grant's,
The City is 100% African, 100% Ours. View attachment 1869380
Noma sana 😍 tuombe uzima tukimaliza BRT phase 2, phase 3 na phase 4 city center patabadilika sana sana tutakuwa na barabara chache sana za kurekebisha maana kule Obama drive mambo ni moto maungio ya Tanzanite Bridge safi!!!
 
Ngoja nikupe siri moja zamani watu walikuwa wakijenga airports kwa mtindo huo wa circle kwa ajili ya kusave space especially kwenye apron ili ndege nyingi zipark kwa wakati mmoja ila nowadays hawajengi hivyo tena wanajiachia ni kama mtindo flani kwa sasa uko out of fashion nakupa homework nenda kaangalie new airports na new Terminals huko kwa wenzetu hawajengi tena kwa mtindo huo!!!Punguzeni ushamba.
Sasa mambo mkiambiwa kenya tuliwatangulia katika mambo mengi huaga mnakataa..
Tulijenga kitambo vitu vingi sana, nyie kubalini tu ya kwamba mligutuka sai..alafu ukiangalia vizuri katika hyo picha utakuta kuna space pembeni kwhyo likija swala km kuna ulazima wa kujenga terminal zngine za kinyamwezi zinaingia tu tena vizuri bila shida yyte ile..
Ona hzo space wewe, JKIA ilichorwa na wenye akili zao na ikapangika vizuriwala sio ule upupu wenu wa JNIA hata space haileweki, yani big for nothing
images.jpeg-79.jpg
images.jpeg-78.jpg
 
Sasa mambo mkiambiwa kenya tuliwatangulia katika mambo mengi huaga mnakataa..
Tulijenga kitambo vitu vingi sana, nyie kubalini tu ya kwamba mligutuka sai..alafu ukiangalia vizuri katika hyo picha utakuta kuna space pembeni kwhyo likija swala km kuna ulazima wa kujenga terminal zngine za kinyamwezi zinaingia tu tena vizuri bila shida yyte ile..
Ona hzo space wewe, JKIA ilichorwa na wenye akili zao na ikapangika vizuriwala sio ule upupu wenu wa JNIA hata space haileweki, yani big for nothingView attachment 1869448View attachment 1869450
Are you talking about your old air port? godown
 
Surrounding where they operate are safe
Wezi wamejaa kila mahali cha kwanza ukifika Nairobi utaambiwa uwe makini wezi ni wengi kweli kweli!!!!Na mnakoelekea kwa hili gap mnalolitengeneza kati ya maskini na matajiri could be worst!!!!
 
Kwanini mnapenda picha za juu.? [emoji23][emoji23][emoji23] vitu kwa ground havieleweki, out dated airport unataka shindanisha na modern international airport .? are you fucking serious.?
Modern iliyojaa vibanda km terminals[emoji1787][emoji1787]
 
Sasa mambo mkiambiwa kenya tuliwatangulia katika mambo mengi huaga mnakataa..
Tulijenga kitambo vitu vingi sana, nyie kubalini tu ya kwamba mligutuka sai..alafu ukiangalia vizuri katika hyo picha utakuta kuna space pembeni kwhyo likija swala km kuna ulazima wa kujenga terminal zngine za kinyamwezi zinaingia tu tena vizuri bila shida yyte ile..
Ona hzo space wewe, JKIA ilichorwa na wenye akili zao na ikapangika vizuriwala sio ule upupu wenu wa JNIA hata space haileweki, yani big for nothingView attachment 1869448View attachment 1869450
Screenshot_20210726-153927.png
Screenshot_20210726-153811.png
 
Sasa mambo mkiambiwa kenya tuliwatangulia katika mambo mengi huaga mnakataa..
Tulijenga kitambo vitu vingi sana, nyie kubalini tu ya kwamba mligutuka sai..alafu ukiangalia vizuri katika hyo picha utakuta kuna space pembeni kwhyo likija swala km kuna ulazima wa kujenga terminal zngine za kinyamwezi zinaingia tu tena vizuri bila shida yyte ile..
Ona hzo space wewe, JKIA ilichorwa na wenye akili zao na ikapangika vizuriwala sio ule upupu wenu wa JNIA hata space haileweki, yani big for nothingView attachment 1869448View attachment 1869450
Komora96 tulia dawa ikuingie 💉💉💉😁😁😁
 
Komora96 tulia dawa ikuingie [emoji382][emoji382][emoji382][emoji16][emoji16][emoji16]
Mumepigwa, yani unajenga terminal uje uitumie kw ajili ya ku paki mindege mbele tu, space ya nyuma na kando umemuachia nani[emoji1787][emoji1787]
Yani unatumia hela yote ile kuja kuhudumia ndege chache at ago..,maskini tanzania
images.jpeg-78.jpg
 
Back
Top Bottom