Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar bila filters. Urban decay noma. Onenin hio ghorofa imejaza water tanks on every floor, shidaaaaaaaaaaaa.

Dar es Salaam Business District Cityscape High Angle View : Stock Photo
 
Noo ameulizwa a simple question akashindwa kujibu who is wiser between this two people? Sisi tutalipa kutumia the road but hatujailipia hata ndururu kujenga but tanzania umetumia mabilioni kujenga sgr na bado watalipia kutumia who is wiser between the two?
Unajua kwa miaka 30 utakuwa umelipia sh ngp? Yani miaka 30 unaichukuliaje wewe? Wkt huo wote humu probably mtakuwa mshakufa (kwa mapenzi ya Mungu) it means mnabebesha watoto na wajukuu zenu mizigo wasiyoistahili, so hicho ndicho mnachofundishwa shule? Yn only 5km ya road iliyoinuka ndo mnapigwa miaka 30 wajinga nyinyi
 
Apo kuna nn cha kucelebrate kama sio wazimu?

Hawa ni Kila mtu na kwake endeleeni kupanga na kukaa kwenye flats kama foreigners View attachment 1864151View attachment 1864152
Huku pia kuna watu wamejenga makwao lakini wamejenga na adabu... si mcheze hata ile game iko google play inajiita township iwafunze kupanga town morden gardens hakuna parks hamuna everything everywhere kama soko nkt
 
Unajua kwa miaka 30 utakuwa umelipia sh ngp? Yani miaka 30 unaichukuliaje wewe? Wkt huo wote humu probably mtakuwa mshakufa (kwa mapenzi ya Mungu) it means mnabebesha watoto na wajukuu zenu mizigo wasiyoistahili, so hicho ndicho mnachofundishwa shule? Yn only 5km ya road iliyoinuka ndo mnapigwa miaka 30 wajinga nyinyi
Unasahau hata mkijenga na pesa yenyu bado ni ushuru mlitoa so pre paid post paid bado yote sawa
 
Unajua kwa miaka 30 utakuwa umelipia sh ngp? Yani miaka 30 unaichukuliaje wewe? Wkt huo wote humu probably mtakuwa mshakufa (kwa mapenzi ya Mungu) it means mnabebesha watoto na wajukuu zenu mizigo wasiyoistahili, so hicho ndicho mnachofundishwa shule? Yn only 5km ya road iliyoinuka ndo mnapigwa miaka 30 wajinga nyinyi
And think logically it's just 27km but what is the return of investment lorry za kutoka mombasa that's the road they use garivza kuingia town that's the road they use Uganda that's the road they use tourists from the airport that's the road they use do you know the kind of traffic experienced there? Do you know how much money is lost in that traffic?? Do you know even Uganda exporters were complaining due to that road???? So dont be myopic that road will help way more that what meets the eye
 
Kama one shot ina cover all that inakushtua wacha nikushtue zaidi what can fit in one shot View attachment 1864884half the world in one shot if you cant get the logic in that I dont think explaining anything to you further would
Hapo picha hii imechukuliwa out of space ile ya Kenya imechukuliwa within 5km you get the whole city view
 
Back
Top Bottom