Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee hizo nyumba ni kali sana hizo bati zenye kutu zisikuchanganye hapo zikiezekwa bati quality zenye rangi nzuri inaleta bonge moja la view
Hizi za kishamba? ., iko tu wazi, usijaribu kuzoa maji yalio mwagika kwa mchanga, wacha kutetea mambo yalio wazi😂 😂 😂
1627045886046.png

1627046214389.png


Kitu mzuri inaonekana, haiitaji support ya maneno.,
1627046020352.jpeg

1627046058708.jpeg

1627046099302.jpeg
 
Ua ua road a.k.a chinja chinja road[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1864646

kabla ya nyasi kumea kote kote., hapo zamani..,
1627046438789.png


Ya sasa.., nyasi imefunika yote, the green city in the sun..,🔥🔥💪 mwenye wivu jinyonge.., EASTLANDS KAMA EASTLANDS
1627046400560.png
 
Nachokiona kwe picha alizipost ili apate kutroll :

Picha za Tanzania ziko zoomed sana hadi imepoteza uhalisia yaani imekuwa hafifu.

Nadhani unafahamu kitacho tokea ukizoom sana picha husika.
Wanajifanya nao wanatafuta kasoro kwenye maeneo mazuri kama sisi tunavyofanya kwenye small mines zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu haya ma apartments ya kenya ni balaa na ndiyo maana huwa hawaleti picha za karibu, Watz tumshukuru Mungu kutupa nchi kama hii ambayo mtu unamiliki ardhi, wenzetu wanarundikwa kwenye jengo moja maelfu ya watu, yn kumbe Kenya ni bora India onaaa[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1864535View attachment 1864536View attachment 1864537View attachment 1864538
Hizo ndio bedsitter zao wanazojisifia nazo [emoji23][emoji23][emoji23]
Umasikini mtupu 60% ya Nairobians wako kwa slums and occupy only 6% of land mass in Nairobi so hivyo viota sio ajabu sana kwao wamezoea.
 
Ukimaliza na wewe utuonyeshe watu wa kipato cha chini dar wanapatikana wapi tuje tulinganishe[emoji1787][emoji1787]
Niko serious kidogo bedsitter hapo kwenye huo uchafu uliopanda juu cost yake ni sh ngapi per month?
 
Hivi niko serious kifogo bedsitter hapo kwenye huo uchafu uliopanda juu cost yake ni sh ngapi per month?
Kila cku nasema humu Kenya na Wakenya ni Mavi wanasema nawatukana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuhusu makazi majority of Kenyans wako na shida sana imagine nimeona kule Nyeri na sehemu nyingine watu wanakaa kwenye grain silos nilishangaa sana maana madirisha yalikuwa ni matundu madogo sana sijui wanapumuaje huko ndani
huko ndani wanajambiana tu
 
Sasa watamjibu nn kwamba co ya mchina au? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Noo ameulizwa a simple question akashindwa kujibu who is wiser between this two people? Sisi tutalipa kutumia the road but hatujailipia hata ndururu kujenga but tanzania umetumia mabilioni kujenga sgr na bado watalipia kutumia who is wiser between the two?
 
Huwa mnaonesha only 5km za hiyo elongated flyover kwamba ionekane yote imeinuka au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna render kaangalia for now unaonyeshwa penye panakaribia kukamilika
 
Back
Top Bottom