Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picha inawaumiza hii, hawaamini kama kweli ni Dar, wanatamani kusema nmeiba picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-752958756.jpg
 
Jengeni wacheni uzembe, cc hatujafika hapo kiuzembe na kiwizi wizi km nyie, nitarudi baadae [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Itawachukua miaka 500 mingine Nairobi kufikia Dar kwa concrete jungle na wakati huo huo Dar iwe imelala tu isijengwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kujengeka kwa mdomo kama kawaida. We deal with facts sio kelele za mtaani.
1627059270998.png
1627059316951.png
 
Kumbe ndo mana Dar inaongoza kwa real estate value, madude yao ni very cheap aloo, yn building moja Tz unapata karibu majengo 50 kenya, hivyo hivyo hata kwenye real estate hesabu ndo hiyo hiyo, ona ma apartments haya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1864559View attachment 1864560View attachment 1864562View attachment 1864563
Hapo ikipigwa picha ya mbali wanamaneno meengi...ooh pipeline estate blahblah mingi
 
Ndo mnataka hili vazi lijulikane ni la Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe ndo mana Dar inaongoza kwa real estate value, madude yao ni very cheap aloo, yn building moja Tz unapata karibu majengo 50 kenya, hivyo hivyo hata kwenye real estate hesabu ndo hiyo hiyo, ona ma apartments haya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1864559View attachment 1864560View attachment 1864562View attachment 1864563

Ndiyo maana 50+% of Nairobi buildings are not fit for human habitation.
🤣🤣🤣
 
Tanzania kimichezo level ya kimataifa (as Tanzania nation, not clubs) hatuko serious...
View attachment 1864657
giphy.gif

anyway, we already have gold and Diamond in our country, bado bronze na silver tu[emoji23][emoji23]
Sisi michezo hatujui huo ni ukweli mchungu, ni vile tuna pesa tu ndo tumewekeza kwenye mchezo tunaopenda kwa ngazi ya clubs, lkn wale wa clubs wakienda kwenye mataifa yao tunabakia na mimavi.
 
Back
Top Bottom