komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
AmefutaSorry to interrupt your party..
This Kenya Maritime Academy Swimming pool formerly Bandari College... tafadhali muache kuiba picha wabongo



AmefutaSorry to interrupt your party..
This Kenya Maritime Academy Swimming pool formerly Bandari College... tafadhali muache kuiba picha wabongo



Jamaa ka post na mbwembwe kweli, naona sai aibu imemtanda ikambidi akimbilie kufutaMaajabuMe dead I can't take it
![]()
hili lijamaa Lina Ujinga Sana wivu Mingi Sana,Yani he can say anything Ndio aone ameshinda,He is an imbisole🤣🤣🤣🤣🤣Jamaa ka post na mbwembwe kweli, naona sai aibu imemtanda ikambidi akimbilie kufuta
Naona leo kakasirika mpka anapost old pics za ghetto areashili lijamaa Lina Ujinga Sana wivu Mingi Sana,Yani he can say anything Ndio aone ameshinda,He is an imbisole![]()


Huyoooooo ameumia, wakati nampa viboko tuusan kumbe inakuuma kimoyo moyo. Kama unataka battle sema mapema tukianze.Kumbe ndo mana Dar inaongoza kwa real estate value, madude yao ni very cheap aloo, yn building moja Tz unapata karibu majengo 50 kenya, hivyo hivyo hata kwenye real estate hesabu ndo hiyo hiyo, ona ma apartments hayaView attachment 1864559View attachment 1864560View attachment 1864562View attachment 1864563
Hizi nyumba zimeshinda yako, post yako kama unamakende mbili.Wakuu hii nchi ni maslums everywhereView attachment 1864547View attachment 1864548View attachment 1864549
Nimekupa like picha zote manake ni moto sana. Leo kwan umekua mkenya nini mazee. Huyu jamaa ashaanza kupenda flag yetu.
Wakuu Kenya ni Mavi, haya ndio ma apartments wanayaficha huwezi kuona wanayaweka humu, yn kuna picha zingine unaweza zani ni ma slums ya IndiaView attachment 1864543View attachment 1864544View attachment 1864545
tunajua hizo "chumba kimoja" zenyu., nyambaff., hapa Kenya nyumba ya kawaida hatuhesabu sitting room, kitchen, choo na bafu, we say; "one bedroom house,(meaning nyumba with sitting room, Kitchen, bathroom na iko one bedroom), two bedroom house, three bedroom house etc, bedsitter na single room. So single room ndio room moja with nothing, just a plain room., Roger that?..,In Tz tunaposrma one room we dont count toilet bathroom and kitchen we mean the living/sleeping room.











Nachokiona kwe picha alizipost ili apate kutroll :
Unabadilisha angle eti 😂 😂 😂 😂 none of what have circled can be seen in what u have posted.., ni sehemu tofauti 😂 😂
Mzee hizo nyumba ni kali sana hizo bati zenye kutu zisikuchanganye hapo zikiezekwa bati quality zenye rangi nzuri inaleta bonge moja la viewWacha tulinganishe, punguza hasira., unaskia kulia sasa., unaongea kwa hamaki![]()
![]()
hauna pa kutokea..,
View attachment 1864625
View attachment 1864620
Residential looks better than Dar CBD, inafanana Afghanistantunafananisha Dar CBD vs Kenya residential ya raiya
View attachment 1864628
View attachment 1864621
Mashabani mjini..,
View attachment 1864627
VS Nairobi..,
View attachment 1864623