komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Tena hakujibiwa sasa[emoji1787][emoji1787]wamemdharau sana kw sababu alidhihirisha km watz hawana akili..Huyu lazima ametoka kwa huu uzi, hajui twitter watu wanaakili kubwa kumliko [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Jamaa umeandikiwa ppp alafu unaenda ku comment ujinga huu si ni sawa na kuipindua nchi..CCM kweli janga la taifa
Kaenda kutaja bwawa sijui Air tanzania hko akafikiria kila mtu ni mjinga kule