The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kwahiyo nyie kodi ya serikali mnayolipa inaenda wapi ikiwa miradi yote mkopo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Like Sisi tutalipa kutumia tu... kujenga tumejengewa free.... nyinyi mumelipa kujenga na mtalipa kutumia inaitwa kuwa mjanja yaani capitalist mind