Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
Mtwara Referral Hospital on final touches
Tutatesama mara ngapi nyumba kama hizo hazikodishwi. Alafu hizo nyumba zilivyo achana inmaanisha huko si uswahilini mnakoishi nyote.Apo kuna nn cha kucelebrate kama sio wazimu?
Hawa ni Kila mtu na kwake endeleeni kupanga na kukaa kwenye flats kama foreigners View attachment 1864151View attachment 1864152
Kunya bado ni slumTanzania bado Ni LDC![]()
Watu wanamiji mibovu sana, angalieni mpangilioView attachment 1864127View attachment 1864125
Sehemu kubwa Dar ndio kumejengwa ivyo...taratibu mtaelewa Japo mnavichwa vigumuTutatesama mara ngapi nyumba kama hizo hazikodishwi. Alafu hizo nyumba zilivyo achana inmaanisha huko si uswahilini mnakoishi nyote.
Ni kazi umekosa upewe maana haupo seriousWestlands is far better than main Dar CBD., angalia mji wa kishamba, umechoka kama tu Mwanza., ni gorofa tatu na BRT na pengine SGR ya umeme ndio zinaipaka mafuta kwa uso ili isionekane imeparara sana..,
Seriously what is this????
View attachment 1864163
View attachment 1864166
Afadhali estates za Eastlands , zina pendeza kuliko hii![]()
CBD
View attachment 1864175
View attachment 1864176
Pia wewe haupendi ukweli?.., na tukiwaonyesha sehemu kubwa ya Nairobi ilivyo jengwa kwa mpangilio mnalia lia na kibera kasehemu kadogo ukilinganisha na kwingineko.., kama Eastlands..,Sehemu kubwa Dar ndio kumejengwa ivyo...taratibu mtaelewa Japo mnavichwa vigumu
Uzi ni Dar vs Nairobi, comparison analysis makosa yangu iko wapi? have done justice to this thread..,Ni kazi umekosa upewe maana haupo serious
Wewe hujielewi...building moja ya hapo posta inaweza kua na thaman ya eastland estate yoteUzi ni Dar vs Nairobi, comparison analysis makosa yangu iko wapi? have done justice to this thread..,
Now I know why Tanzania only have 9,000km of paved roads, yani residential areas za tz zote zina barabara za matope na mchanga. Hakuna lami hata moja in that your pic.Apo kuna nn cha kucelebrate kama sio wazimu?
Hawa ni Kila mtu na kwake endeleeni kupanga na kukaa kwenye flats kama foreigners View attachment 1864151View attachment 1864152
Tuachane na takwimu zako zakipuuzi kwanza..makazi hayo ni bora kuliko flats zenuNow I know why Tanzania only have 9,000km of paved roads, yani residential areas za tz zote zina barabara za matope na mchanga. Hakuna lami hata moja in that your pic.
PPP za Tz ni nzuri. Ila ikija Kwenye upande wa KE is where you guys draw the line. Apo ndo wivu inaamka inaingia hadi kwa koo la kila mtz. Mtaumia sana na kuteseka bureAtakuonesha project ya mchina expressway 😂 pesa za mchina ,itamilikiwa na mchina miaka 30 na ushuru wote atachukua mchina kwa miak 30
Tuusan..,Apo kuna nn cha kucelebrate kama sio wazimu?
Hawa ni Kila mtu na kwake endeleeni kupanga na kukaa kwenye flats kama foreigners View attachment 1864151View attachment 1864152
It's not bad thing to dream but try to dream responsibly, or else utajikojolea🤣😂😂 Ebu compare hiyo takataka umepost na hii place😂🤣😂Tuachane na takwimu zako zakipuuzi kwanza..makazi hayo ni bora kuliko flats zenu
😍 🔥It's not bad thing to dream but try to dream responsibly, or else utajikojolea🤣😂😂 Ebu compare hiyo takataka umepost na hii place😂🤣😂
View attachment 1864210
Majengo hakuna wanasingizia green spaces lkn hapo hapo miti ikikatwa pajengwe ghorofa wanashangilia, they are so inferiorREASON WHY UNEP HEADQUATERS ARE IN EAST AFRICAView attachment 1864146



