The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Umetumwa kuja kuharibu mada ya SGR, ila ngj nikujibu, ni kwamba City mall cyo mlimani city, hiyo mlimani city ni mbali kabisa na posta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kutoka City mall hadi TPA kwa bahari ni kilometer moja tu. Very small city this one. Ukiingia umetoka.
View attachment 1856715
View attachment 1856716