Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu tizama hii picha kwa umakini sana how far is CBd to upper hill🤣🤣 au na hii inatahitaji ramli alaf angalia hata density infact hakuna sijui tunashindana nnView attachment 1855320
I know that you are stupid but don't bring me to your level. You can say all you want but posta hadi Kariakoo can't be 3 kms. Hilo hata wewe unajua sema tu unapenda ubishi. Upperhill na cbd zimetanganishwa by two very huge parks (Central Park and Uhuru Park) and a golf course. Ni nini kinatenganisha kariakoo na posta? Ujinga peleka Tandale
 
We jamaa ni mpumbavu kweli, kwahiyo kutoka kwenye hiki kijiji chenu cha naipori mpaka next village ni hatua ngapi kama itakua ndio hivyo?

View attachment 1856138
So what's your point exactly kijana wa Tandale? That Nairobi shouldn't have boundaries ama? Which city in the world doesn't have city boundaries? Mtanganyika ni mtanganyika tu
 
Hivi nyie speed ya 160km/hr mnaichukuliaje? Hebu mwenye gari na aliyewahi kutembea hiyo speed constantly for at least 3hrs atuambie aliteambea lini na kwenye barabara gn.
We gari za kuhimili mwendo huo utazipandia wapi
Km hujui raha ya mziki unaotembea speed ya 140 kwenda juu na bado unaji feel upo safe tua mzee
 
So what's your point exactly kijana wa Tandale? That Nairobi shouldn't have boundaries ama? Which city in the world doesn't have city boundaries? Mtanganyika ni mtanganyika tu
Mada ya kariakoo wameikimbia baada ya kuja kuwaumbua
Kw sasa hawana hamu nayo tena kabisa
 
Hiyo yenu sio bullet train, the only bullet train in Africa Ni ya Morocco which travels at a speed of 320km/h. Hiyo ya Tz Ni same tu na ya Kenya.
Yani mtoto wa mjomba na shangazi tu
Kenya tunatumia diesel ku power engine wao wanatumia diesel kwa ajili ya kufua umeme ndio uende kw treni
 
Back
Top Bottom