Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
CBD ndogo..,Whether kuna kisutu na minazi minane katikati the fact remains that the distance between posta and Kariakoo can't be 3 km.
Nyangau kala kipigo cha mbwa mwizi kwenye huu mzigo ambao bado anaulipia kwa riba ya juu.
Eti 15 yr ,brt yenu ya juzi tuu!DALADALA 2021 kando ya brt 🤣😂! Jalopies can’t compare with MA3,don’t flatter yourself!😎these photos were taken twelve to fifteen years Back bro.
Mi natokea mkoa wanaopatika hao Kwanza huwa wanapewa chakula na serikali hawafi njaa.hao jamaa hawalimi wala sio wafugaji ni wawindaji wakati kuna njaa huwa wanapewa vyakula.Tatizo ni mtindo wao wa maisha.wengi kama vile lile Jamii la Hadzanabe/Hadza jamii ambayo iko Tanzania,na wengine Malnutrition
she was killed somewhere? So amekufa mara mbili? Au unamaanisha she had killed somewhere? Na mbona unamashaka kwamba aliua?Aisee mkuu hii habari Nina mashaka nayo, issue ya Caroline kujitoa uhai naona kama Iko fishy Sana inawezekana she was killed somewhere alafu akapandikizwa evidence! kama kisa cha father keisa kama unakumbuka siunajua wenzetu ndo zao au unaona hiyo habari imekaa aje?
We umeshaambiwa hizo picha ni za zamani Sana usiwe mbishi🙂 alafu mfumo wa matatu ni failed transport system kwa maana haipo safe and reliable mnaitumia sababu hamna option.Brt yenu ya juzi tuu!DALADALA 2021 🤣😂! Jalopies can’t compare with MA3View attachment 1855706View attachment 1855707View attachment 1855710View attachment 1855711View attachment 1855715View attachment 1855716View attachment 1855717View attachment 1855718View attachment 1855719View attachment 1855720View attachment 1855721View attachment 1855722View attachment 1855723View attachment 1855724View attachment 1855725View attachment 1855726
She had been killed somewhere alafu akaletwa pale,Ila kama nimekusea mungu anisameheshe was killed somewhere? So amekufa mara mbili? Au unamaanisha she had killed somewhere? Na mbona unamashaka kwamba aliua?
Ameuliwa prove picha inaonyesha kuna dam ilio dondok wakat anawekwa apo...ukiangalia apo kwenye miguu kuna dowa kubwa tu la dam na kwa pembeni zaidi pia ipo ila akuna hata tone la dam ukutani sasa iyo risasi alijipigaje ?....wahuni tu hao
Mlijenga brt 15 years ago??? Motherfucker!🤣😂😁 Daladala kando ya brt ni mawe au wadudu? Ni brt au mto?😎🤓🤣😂😅!We umeshaambiwa hizo picha ni za zamani Sana usiwe mbishi🙂 alafu mfumo wa matatu ni failed transport system kwa maana haipo safe and reliable mnaitumia sababu hamna option.
Kwa hiyo kaa utulie.



Umeona hawa jamaa sio kabisaAmeuliwa prove picha inaonyesha kuna dam ilio dondok wakat anawekwa apo...ukiangalia apo kwenye miguu kuna dowa kubwa tu la dam na kwa pembeni zaidi pia ipo ila akuna hata tone la dam ukutani sasa iyo risasi alijipigaje ?....wahuni tu hao
Sgr dume superior kuliko zile bullet trains zenu feki


Mnapingana mpka na picha, kweli nyie watu mumechanganyikiwaUnajua kuna ile namna huwa mmoja wao akidanganya humu halafu wanaungana wote kutetea uwongo na yeye hapo anadhani labda na nyie mnadanganya na mmeungana kudanganya kumbe ni ukweli mtupu tu![]()
Matusi ya nini 🙂? Hivi ina maana huwezi ukaongea bila ya matusi watu wasielewe? Kweli wakenya MNA matatizo 🙂Mlijenga brt 15 years ago??? Motherfucker!🤣😂😁
Umewafumania 😂 😂 😂 😂
Punguza ujinga matusi itapungua,tatizo unadanganya hadharani,eti hamna daladala dar,mafuriko ni ya juzi pia,your failed brt is a river whenever it rains🤣😂😎Matusi ya nini 🙂? Hivi ina maana huwezi ukaongea bila ya matusi watu wasielewe? Kweli wakenya MNA matatizo 🙂