Mbona sioni nyuma hio ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ mushaanza kushuta sasaSummary hii hapa na hii chapter tumefunga.
Dar Skyline Mbele
![]()
Dar Skyline Nyuma
![]()
Leteni matusi sasa kama kawaida kwa sababu hua hamna jibu la maana.
Kama haikuumi kwann ulileta price yake hapa??? Kwann ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐Wewe unakuwanga na ujinga sana. Sasa mtu akinunua gari kupitia juhudi zake roho inafaa kuniuma.
Na Bado utapelekwa hospitality ya.vichaa kabisa kila siku nakumbia sisi tunawaangalia zaidi walioendelea sio nyie masikini mpaka mna njaa.Nimeona Mapicha Mingi za Tanzania Bullet Trainnmekabaki nmechanganikiwa
Ukimaliza kujifanya umechanganyikiwaNimeona Mapicha Mingi za Tanzania Bullet Trainnmekabaki nmechanganikiwa
...izo ndio zitakuja 2024 meantime wait for november 2021๐๐๐๐ wanajiuliza wapi walipokwamaNa Bado utapelekwa hospitality ya.vichaa kabisa kila siku nakumbia sisi tunawaangalia zaidi walioendelea sio nyie masikini mpaka mna njaa.
Subiri utafika ule muda uharo na mkojo vitatoka wakati mmoja ๐ ๐ ๐ ๐Nimeona Mapicha Mingi za Tanzania Bullet Train๐ nmekabaki nmechanganikiwa
tupe precise details za mkataba wa kwanza .. huu wa hyundai rotem umeeleweka..
Mbona sioni nyuma hiomushaanza kushuta sasa
, Anavyosema kwa nyuma anamaanisha ni picha hiyo hiyo upande mwingine au? Huyu nilimtoa maana rasmi kutoka jana baada ya kutoka Boko kuhusu Antonov 225
Kitu ambacho hajui, frame ya Pili haipo na ipo mbali ya hiyo frame ya kwanza, Anavyosema kwa nyuma anamaanisha ni picha hiyo hiyo upande mwingine au? Huyu nilimtoa maana rasmi kutoka jana baada ya kutoka Boko kuhusu Antonov 225
Kitu ambacho hajui eneo la kwenye picha ya kwanza linaonekana mbali kule kwenye mbele kabisa kwenyepicha ya pili.
View attachment 1855206
View attachment 1855207
Amekuja kupunguza stress za maisha jamii forum![]()

๐๐๐๐๐
MY TAKE
Kenyans have started flocking to Tanzania to attend heart surgery services at JPM's state of the art hospitals!