Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just because I am not a Dar resident doesn't mean you can lie to me. Uniambie eti kutoka posta hadi Kariakoo ni kilometers tatu alafu unatarajia nikuamini wakati hii ni kitu tu ya kuona kwa mach hatakwa map?!
Jibu swali uliloulizwa kwanza ??😂😂 unapobisha maana yake unajua
 
Whether kuna kisutu na minazi minane katikati the fact remains that the distance between posta and Kariakoo can't be 3 km.
You argue without facts. Ni ubishi wa kijinga ukiambiwa lete facts kama barabara unayosema inayotenganisha Posta na kariakoo unaishia kurukaruka tuu.
 
Just because I am not a Dar resident doesn't mean you can lie to me. Uniambie eti kutoka posta hadi Kariakoo ni kilometers tatu alafu unatarajia nikuamini wakati hii ni kitu tu ya kuona kwa mach hatakwa map?!
Acha maneno mengi tunasubiri ulete barabara unayosema inatenganisha Posta na kariakoo
 
Morning bro
2173843_IMG_20190929_222133_356.jpg
 
You argue without facts. Ni ubishi wa kijinga ukiambiwa lete facts kama barabara unayosema inayotenganisha Posta na kariakoo unaishia kurukaruka tuu.
Unajua kuna ile namna huwa mmoja wao akidanganya humu halafu wanaungana wote kutetea uwongo na yeye hapo anadhani labda na nyie mnadanganya na mmeungana kudanganya kumbe ni ukweli mtupu tu
 
Back
Top Bottom