Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uyo jamaa hawezimudu hada dakika kwa sababu anataka kulazimisha fikra zake potovu ziwe ukweli. Posta na Kariakoo zimetenganishwa tu na barabara. Swali ni je, Kutoka posta hadi Kariakoo ni km tatu? Nataka uwe mkweli
Yani mm nisikumudu ww 😄😄😄 unajifanya mjuaji alaf u know nothing na hio kisutu hapo unamuachia nani ?? Mama ngina au
 
Hebu tuoneshe bara bara inayotenganisha kariakoo na posta 😂😂😂😂😂
Whether kuna kisutu na minazi minane katikati the fact remains that the distance between posta and Kariakoo can't be 3 km.
 
Kwa jinsi wanavyopiga finishing ya kibabe pale ni suala la muda tu wataondoa hiyo.. Hata lile jengo opposite la water front halileti show nzuri. Limechoka na hakuna activities pale
 
Whether kuna kisutu na minazi minane katikati the fact remains that the distance between posta and Kariakoo can't be 3 km.
Mm nataka unioneshe bara bara inayotenganisha kariakoo na posta nasubiria 🤣🤣🤣🤣🤣

Tuseme google inadanganya 😂😂👇👇
5BF7E642-ED68-4F94-ACE2-02ECC4070838.jpeg
 
Haya sikieni hii gazeti 😅😅😅 anaanza kulia kwamba hakuna density kwao infact tizama mji kama tokyo ndio mujifunze kuita city

Nairobi ni mji mdogo sana tena sana kwa dar pamoja na udogo wake wa 690km sq still half of it ni national park 😅😅 na robo nyingine ni forest alaf robo iliobakia ndio imejengwa na wale wale wanaojulikana sasa imagine ikiwa kibera alone ina watu 2.5m, vp slums zingine
When I say park I mean peoples park dont be a fool
 
Uyo jamaa hawezimudu hada dakika kwa sababu anataka kulazimisha fikra zake potovu ziwe ukweli. Posta na Kariakoo zimetenganishwa tu na barabara. Swali ni je, Kutoka posta hadi Kariakoo ni km tatu? Nataka uwe mkweli
Wewe unayejua miji ya watu kutoka Posta kwenda kariakoo unapita sehemu gani? Tuanzie hapo kwanza kabla hatujaendelea zaidi.
 
Yani mm nisikumudu ww 😄😄😄 unajifanya mjuaji alaf u know nothing na hio kisutu hapo unamuachia nani ?? Mama ngina au
Utahangaija na utoe povu hadi uongeze distance kati ya k'koo na posts but the fact will still remain that Kariakoo is part of your cbd
 
Utahangaija na utoe povu hadi uongeze distance kati ya k'koo na posts but the fact will still remain that Kariakoo is part of your cbd
Mm nataka unioneshe bara bara inayotenganisha posta na kariakoo leo nifunge acc jamii forum 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe unayejua miji ya watu kutoka Posta kwenda kariakoo unapita sehemu gani? Tuanzie hapo kwanza kabla hatujaendelea zaidi.
Just because I am not a Dar resident doesn't mean you can lie to me. Uniambie eti kutoka posta hadi Kariakoo ni kilometers tatu alafu unatarajia nikuamini wakati hii ni kitu tu ya kuona kwa mach hatakwa map?!
 
Don't sweat too much... I only have one ID here since 2007 and another one with the same name at SSC (2010). That avatar, had since 2011 honoring the south Sudanese solder who was in tears, on the independence day.
Cut the bullshit you're a copycat,dude,get a life😁😆😅😂😂!
 
Back
Top Bottom