Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeona Mapicha Mingi za Tanzania Bullet Train🙈 nmekabaki nmechanganikiwa
lazima uchanganyikiwe maana soon Kenya SGR trains zikua old version.Before Ethiopia hajalunch Electric Trains alikua down sana in terms of GDP but alivyozindua SGR GDP yake ikaongezeka maradufu.
 
Punguza ujinga matusi itapungua,tatizo unadanganya hadharani,eti hamna daladala dar,mafuriko ni ya juzi pia,your failed brt is a river whenever it rains🤣😂😎
Daladala zipo lakini kwa kiasi kidogo,na kwa taarifa yako brt ikianza ilikua na changa Moto zake Ila saivi kuna improvement kubwa Sana ,tatizo nyie mnategea mtandao kujua hali halisi ya Dsm na Tanzania kwa ujumla tembea ujionee,utaondoka hata na kilo 10 ya unga wa sembe kwa gharama Yangu 🙂
 
Daladala zipo lakini kwa kiasi kidogo,na kwa taarifa yako brt ikianza ilikua na changa Moto zake Ila saivi kuna improvement kubwa Sana ,tatizo nyie mnategea mtandao kujua hali halisi ya Dsm na Tanzania kwa ujumla tembea ujionee,utaondoka hata na kilo 10 ya unga wa sembe kwa gharama Yangu 🙂
Screenshot_20210716-122216.png

Even your government admits to blunder during construction who are you to praise it🤣😂😆!
 
The best towers za dar in one pic.., yaani modern Dar kama Dar 2021.., vs Nairobi ya zamani, the old CBD, Nai mzee.., 😂 😂 😂 kazi kwisha..,
1626427006665.png


Old school Nairobi, before UpperHill na westlands wajenge towers or become business districts, still looks far better than modern Dar is slum ya 2021..,🔥🔥🔥💪😂💉💉💉, before even parliament towers na kadhalika.., heshimu mzee.., hakuna westlands, hakuna upperHill..,
1626427623579.png

1626427423648.png

1626427593457.png

1626427173472.png

1626427194090.png


No Westlands, No upper Hill
 
Ameuliwa prove picha inaonyesha kuna dam ilio dondok wakat anawekwa apo...ukiangalia apo kwenye miguu kuna dowa kubwa tu la dam na kwa pembeni zaidi pia ipo ila akuna hata tone la dam ukutani sasa iyo risasi alijipigaje ?....wahuni tu hao
picha inajieleza kabisa
 
The best towers za dar in one pic.., yaani modern Dar kama Dar 2021.., vs Nairobi ya zamani, the old CBD, Nai mzee.., kazi kwisha..,
View attachment 1855761

Old school Nairobi, before UpperHill na westlands wajenge towers or become business districts, still looks far better than modern Dar is slum ya 2021..,, before even parliament towers na kadhalika.., heshimu mzee.., hakuna westlands, hakuna upperHill..,
View attachment 1855777
View attachment 1855771
View attachment 1855773
View attachment 1855769
View attachment 1855770

No Westlands, No upper Hill
game changer..

i love NAIROBI CITY
JamiiForums-1340841676.jpg
 
Wakunya wengi tu watakuwa wanakuja kupiga picha hapa ili kisaka Tonge. Bongo ndo itakuwa mpango mzima

Kina miss trudy, African tigress. .....wote hawa watahamia huku
Watakuwa wanakuja kupiga picha kwenye treni za ghorofa na kuwaongopea wenzao wa kibera kuwa walikuwa ulaya au marekani.
 
Back
Top Bottom