Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
🤑👌😍💯🇰🇪✊🔥🔥Wooow!sisemi kituView attachment 1855305
🤑👌😍💯🇰🇪✊🔥🔥Wooow!sisemi kituView attachment 1855305
Picha Kama vile Rome👌😍Hebu tizama hii picha kwa umakini sana how far is CBd to upper hill🤣🤣 au na hii inatahitaji ramli alaf angalia hata density infact hakuna sijui tunashindana nnView attachment 1855320
Sa unataka kulia.Kutoka CBD kwenda ngara ni 2.4km
Kutoka CBd kwenda kariakoo ni 3.3km tunabishana nn hapa tatizo lako ww uelewa ni mdogo sana 🤣🤣🤣 na kinachokuumiza kichwa ni kariakoo, y kariakoo😄😄😄
Kwani kariakoo na CBd inaanzia hapo ?? Na hapo ni kingo kabisa yani hii ni kuonesha how dar in density ambayo utawachukua miaka 50
Umeshawahi kusikia mtz anakufa Kwa njaaKama sisi Ndio Maskini na je Nyie![]()
wengi kama vile lile Jamii la Hadzanabe/Hadza jamii ambayo iko Tanzania,na wengine MalnutritionUmeshawahi kusikia mtz anakufa Kwa njaa
Anyone aware of this suspicious character on some 🐟 fishy business on SKYSCRAPER CITY and JF,Some kind of a trojan horse😆😅😄😄 from fishing 🎣 village!!status photos looks suspect"dissident x"Overall? Yes
Those screenshots got a whole bunch of pixels missing, you only get that when the internet is slow.
Hiyo haitazuiya Mimi Kwenda kufanya Kazi na kula Ugali na GitheriKenya itatawaliwa na kabila mbili mpaka kufa kama sio kikiyu basi kalenjin, ekeni maneno yangu kama akiba 😂😂😂😂 jubilee imewachezea mchezo ya kujifanya ruto anajitenga ili iwe danganya toto
Hadi Kariakoo katikati na bado haifiki 2km. Dar ni kijiji kwa Nairobi.CBD inaanzia hapa kenge wewe 🤣🤣👇
View attachment 1855332
We mwnywe hujui na bado unakuja hapa kupiga keleleUambiwe model ww kama nani??munanza kuharisha kabla ya kula
😂😂😂😂👇👇👇 huwez ukawa mjuzi kuliko mm
😄😄😄😄😄 kabila ni mbili tu mpaka kiyamaHiyo haitazuiya Mimi Kwenda kufanya Kazi na kula Ugali na Githeri
Afadhali wewe umejibu kiungwana zaidimiezi ya mwisho wa mwaka sio mbali.. tutafika na kushuhudia. but it seems hio kampuni iliyopata tender ya mwanzo ina shida flan, maybe covid effects
Kumbe hujui kutumia maps, weka kutembea kwa miguu usiwe fala.😂😂😂😂👇👇👇 huwez ukawa mjuzi kuliko mm
View attachment 1855354