Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeona Mapicha Mingi za Tanzania Bullet Train🙈 nmekabaki nmechanganikiwa
Hata mimi kusema ukweli ningekuwa Mkenya ningechanganyikiwa kidogo!!!By the way we are brothers ngoja tupeane challenge za ukweli ili tusogee!!! Wakenya wengi huwa wana cross border kuja Bongo either kikazi, biashara au mapumziko and they have never regret!!!.Bongo ni tamu aisee kwanza ni safi, very calm and peaceful watu wake wako poa sana watoto wazuri wazuri na kuna bata za ukweli tofauti tofauti sema unataka nini hahaha
 
lets confuse them..
hawa waTz wataji nauwo, lazima watamonchoka.. wakenyareé please hebu tujibanje na mbogi genje. staki support jamo ama mbwekze.. kibao tu ndo manaake. hadi wanauwo kanairo ni fire💥 ya kuotea furthest!..
wish tu hawa mafathela watz wangefahamu jaba kwetu ni indigenous, yani homegrown. kwao ni mihadarati eti
 
Ww ni pumbu tena pumbu ya kenge 🤣🤣 aliekwambia ni bara bara moja nani?? Ww tatizo unajifanya mjuaji sana wakat u know nothing, ukitaka kujua uliza ufundishwe karikoo na CbD ni vitu viwili tofaut 😄😄
Utakataa ila ukweli utabaki palepale. Posts na Kariakoo zinetenganishwa tu na barabara. Side moja ni kariakoo, the other side ni posta. Italia hata macjozi ya damu ila huo ndo ukweli
 
NatGeo:- The very best and finest views of Mt. Kilimanjaro are only captured from Amboseli National Park, Kenya. 😆😆😆
mutajua hamujui..
kilimanjaro1.jpg
 
Kutoka CBd kwenda ngara ni 2.4km
Kutoka CBD kwenda kariakoo ni 3.3km

Kuyoka CbD kwenda upperhill ni 4km
Kutoka CBd kwenda wetsland ni 3km

Haya niambie wewe which is which 🤣🤣🤣

Tunashindana nn mm na wewe hapa
Utakataa ila ukweli utabaki palepale. Posts na Kariakoo zinetenganishwa tu na barabara. Side moja ni kariakoo, the other side ni posta. Italia hata macjozi ya damu ila huo ndo ukweli
Rudi hapa kwanza 😂😂😂👆👆👆
 
Am sure hata watanzania wenzako huwa wanakushangaa. Wacha kulazimisha watu fikra zako na ujinga. Hii hapa chini ni picha ya Posta na Kariakoo. Unaona hiyo barabara katikati upana wake inatosha kilometers tatu? Wewe ni mjinga sana kijana
View attachment 1855295

Kutoka CBD kwenda ngara ni 2.4km
Kutoka CBd kwenda kariakoo ni 3.3km tunabishana nn hapa tatizo lako ww uelewa ni mdogo sana 🤣🤣🤣 na kinachokuumiza kichwa ni kariakoo, y kariakoo😄😄😄

Kwani kariakoo na CBd inaanzia hapo ?? Na hapo ni kingo kabisa yani hii ni kuonesha how dar in density ambayo utawachukua miaka 50
 
Am sure hata watanzania wenzako huwa wanakushangaa. Wacha kulazimisha watu fikra zako na ujinga. Hii hapa chini ni picha ya Posta na Kariakoo. Unaona hiyo barabara katikati upana wake inatosha kilometers tatu? Wewe ni mjinga sana kijana
View attachment 1855295
Hebu tizama hii picha kwa umakini sana how far is CBd to upper hill🤣🤣 au na hii inatahitaji ramli alaf angalia hata density infact hakuna sijui tunashindana nn
24B1F53C-4659-4788-8EE4-7A38B981576B.jpeg
 
Hata mimi kusema ukweli ningekuwa Mkenya ningechanganyikiwa kidogo!!!By the way we are brothers ngoja tupeane challenge za ukweli ili tusogee!!! Wakenya wengi huwa wana cross border kuja Bongo either kikazi, biashara au mapumziko and they have never regret!!!.Bongo ni tamu aisee kwanza ni safi, very calm and peaceful watu wake wako poa sana watoto wazuri wazuri na kuna bata za ukweli tofauti tofauti sema unataka nini hahaha
Mimi Napenda inchi Zote za Afrika Lakini hapo kwa madada wacha nibaki Na Akothee wanajua Kutafuta pesa🤑😋
 
Back
Top Bottom