Ukweli kabisa., meanwhile as he consults ccm govt., Westlands is far better than the best parts of Dar CBD.., waliweka awali..,Hakuna dual inafika chanika stop forcing issues and tell your government to work.
Na bado kuna a lot of constructions sahii. When the economy recovers, probably in 2023 the skyline will be so busy.Ukweli kabisa., meanwhile as he consults ccm govt., Westlands is far better than the best parts of Dar CBD.., waliweka awali..,
WESTLANDS on steroids🔥🔥🔥..,
View attachment 1853450
i don’t mean to interrupt your debate.. but kuna video nimeiona imeelezea vizuri kuhusu uraia pacha by prof kabudi.. the guy explained very well! he’s well educated!![]()
Hua wanadhani density ni shamba, ndio kwa maana hua wanasema Nairobi inaingia kwa Dar mara kumi. Kumbe hawajui most cities in the world watu wanaishii kwa ghorofa to save on land space. One apartment in Nairobi has like 50 households, hizo ni nyumba 50 kwa ground zimepelekwa kwa hewa to save on space.Nairobery
View attachment 1853263
Nasikia wengine wanataja concrete jungle wakati picha ni cbd usiku na mchana
That's a residential area bongolala tena mbali sana na CBD. Tuonyeshe residential area kama hiyo Dar nzima with such high rise buildings and good planning
Yani kama kuna kitu mtanzania haweziniambia ni kufanya comparison ya residential areas between these two cities. They are just worlds apartHizi umewaweza.., a section of eastlands.., Buru buru inaonekana quarter.., bado Nyayo haipo.., Jacaranda.., not yet half of Eastlands., Kasarani bado., Pipeline.., Fedha.., ete etc.., Dar hii ingekua confused dream houses..,
View attachment 1853297
Compare and contrast
Duh!!! Mzee vipi!? Upo sawa kweli!? Huwezi kunitumia PM!?Ila kusema kweli unaharibu dhana nzima ya thread
Serious una-bore, wacha kudanganya mshikaji! Mbona uchukue picha za sehemu nyingine na kudai Dar? Umekuwa Mkuwa Mkunya ama?
- Lazy Lagoon ipo Bagamoyo
- Pili umechukua moja tuu the luxury villas & nature retreat Zanzibar
DALADALA JALOPIES 2021 RELOADED 🤣😂😆!,POSTA ,DARSLUM ........20years ago,,,umewahi kuona wapi posta kuna daladala za hiace.?
kwenye transiportation huwa tunaemda na wakati pole sana zilipendwa umepanic
Piga mbwa Geza Ulole 😆 😆 😆 😆 😆 😆Duh!!! Mzee vipi!? Upo sawa kweli!? Huwezi kunitumia PM!?