Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1626414317360.png
 
sio kwamba hatuna majibu, ichoboy01 anawamudu .. mnazi mmoja/lumumba haipo kkoo na kisuku haipo cbd
Uyo jamaa hawezimudu hada dakika kwa sababu anataka kulazimisha fikra zake potovu ziwe ukweli. Posta na Kariakoo zimetenganishwa tu na barabara. Swali ni je, Kutoka posta hadi Kariakoo ni km tatu? Nataka uwe mkweli
 
Yes, wachina wanachimba Bomba na mitaro ya drainage pale. Na kituo cha BRT.. Wata link BRT, SGR na Airport..

Jengo la pili refu la TRC hapo pembeni ya station ndio bado hati hati.. Wamepageuza parking nadhani.
Ile police station wangeibomoa kwanza wakatafuta nafas nzuri ya kujenga vzr ikaleta taswira nzuri
 
Wewe hujui kitu Uliza ueleweshwe kati ya Posta na Kariakoo kuna Kisutu na Mnazi mmoja na wala hazijapakana au kutenganishwa na barabara kama unavyosema
Huyu mutabishana nae mpaka asbh 😂😂 anachojua yeye ni kuhangaika kutafuta slum dar ambayo mzungu na technology yake yote hajaona
 
In the middle there is a park and a golf club bro a town is not all about buildings people need amenities they need parks, walks and places people can seat and relax that is a modern town not just buildings and noise take an example of European towns actually very few are that too densely concetrted with just high rises only fools believe a good town is just clustering buildings.
Haya sikieni hii gazeti 😅😅😅 anaanza kulia kwamba hakuna density kwao infact tizama mji kama tokyo ndio mujifunze kuita city

Nairobi ni mji mdogo sana tena sana kwa dar pamoja na udogo wake wa 690km sq still half of it ni national park 😅😅 na robo nyingine ni forest alaf robo iliobakia ndio imejengwa na wale wale wanaojulikana sasa imagine ikiwa kibera alone ina watu 2.5m, vp slums zingine
 
Wewe hujui kitu Uliza ueleweshwe kati ya Posta na Kariakoo kuna Kisutu na Mnazi mmoja na wala hazijapakana au kutenganishwa na barabara kama unavyosema
Mnaongea ni kama hizi picha za Dar tumeanza kuziona hapa leo for the first time.
1626416157570.jpg
1626415800541.jpg
1626415985209.jpg

Eti kutoka hapo posta hadi Kariakoo kilaza anasema ni km tatu. Halafu anataka tumuamini!!
 
Back
Top Bottom