Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Acha uchawi basi.... Itajengwa upende usipende! 🤣 🤣 🤣 👇Hakuna kujengwa lane hapo ni mwendo wa lipstick
Acha uchawi basi.... Itajengwa upende usipende! 🤣 🤣 🤣 👇Hakuna kujengwa lane hapo ni mwendo wa lipstick
Watanzania muache kuvuruga Tamaduni za wenyewe,sio kila mtu anataka kuwa mswahili😬😬*Hadza/Hadzabe#Tanzanian Bushmen,are hunters and Gatherer tribe and their food is their animals,Their Homeland is Northern Tanzania,Eyasi Valley,75% of their land has lost over a period of 50years,munawadhulumu kwasababu hao sio Kama Nyinyi they have maintained their culture of life,Sasa munawaibia na huwaharibia Jinsi mnavyotaka😬😬😬because they are a minority group
Nakuru hii moja kulikuwa na WRC ya Vasha? 😂 😂 😂 😂Kuna jamaa anataka kuifanananisha nakuru in economic wise na kijiji flani cha usukumani
Hii ni movie ya Bongo, nishawahi kuiona! 💉 💉 💉 Wabongo wamejaza thread za kichawi balaa, mikasa ya kutisha, mabwenyenye wenyu naskia ndio vigogo wa kuruka kwa uteo. Yaani mnaishi vipi nyie, hamtakiani mema hadi mwarogana wenyewe kwa wenyewe, mbaya zaidi mkafanya Mondi wenyu asipewe award kule States, kisa kumchochea! Nyie wachawi bhana, hata muende wapi, Tz + Nigeria = Horror Film(Hollywood blockbuster) 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mm niliwahi kuambiwa na uncle wangu ambaye alisoma na kuishi Kenya, akaniambia wakenya ni wana roho mby na ni wachawi mno, ukimpita darasani basi kesho huamki salama, au hata mpirani ukimchukulia namba anakuroga, yeye mwenyewe uncle kawahi kurogwa, na alijua kwamba karogwa baada ya kuambiwa na rafiki yake ambaye alikuwa mkenya na alipelekwa kwa sangoma na huyo mkenya.
Yamepigwa na jua bandarini mpaka yamepauka lolView attachment 1833994RC Makala apokea Mabasi 70 ya mwendokasi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amepokea Mabasi 70 ya mwendokasi huku akiishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kufanikisha kupatikana kwa mabasi hayo licha yakuwa inasiku 101 tu. Mkuu wa mkoa amesema mabasi 70 yataongeza ufanisi katika utendaji kazi. Swali langu:- Naamini haya mabasi...www.jamiiforums.com
Timu haijengwi na hela tuu bali na mipango piakuna kitu nimewaza kuhusu Yanga.. yanga msimu ujao wakikaa vizur kimahesabu watasumbua/watakuwa vizur sana kwenye ligi kuu na CAF
Yanga![]()
- Gharib (GSM)
- Rostam (Taifa Gas)
- Manji (Quality Group)
Simba
- Dewji Mo
mim ni simba ila hawa jamaa yanga wakikaa vizur, watatusua sana
🔥🔥🔥Rank za kijinga kwa ground mnashindwa mbali sana na vinchi vidogo kama Rwanda na Burundi![]()
![]()
![]()
It’s foolish when you’re down View attachment 1831572View attachment 1831573View attachment 1831575View attachment 1831576View attachment 1831577View attachment 1831578View attachment 1831579View attachment 1831580View attachment 1831581View attachment 1831583View attachment 1831584View attachment 1831587View attachment 1831593View attachment 1831595View attachment 1831596View attachment 1831597View attachment 1831598View attachment 1831599View attachment 1831617View attachment 1831618View attachment 1831619View attachment 1831620View attachment 1831621View attachment 1831622View attachment 1831623View attachment 1831624View attachment 1831625View attachment 1831603
View attachment 1831601
Tunajua hamna hata spare za A-100 na hamjawahi fanya field test! 🤣 🤣 🤣 BTW, Pakistan wali upgrade, wanaunda variant zao wenyewe sahi(local)... Nyinyi sasa, duh! 🙆🏾♂️😬😁Alfu website ya kifala fala inawambia wakenya hatuna MRLS
Which has a production factory in Mombasa! 💉 💉 💉 Hata Uganda walianza kwa kununua Mamba za SA, sahi wana tengeza Mamba version ya UG. 😂 😂 😂Maandishi hayo. Unaweza ukatumia photoshop kuyaweka.
Mamba is a South Africa Vehicle
A wise Lt. General once said, "FORGIVING a TERRORIST is left to GOD, but FIXING their APPOINTMENT with GOD, is our RESPONSIBILITY!!!"Ethiopia,Uganda are our allies and trade partners we are not at war with them.Alshabab wakivuka border wanalamba vumbi .BABU 255 vaa mask corona ipo!View attachment 1831909View attachment 1831910View attachment 1831911View attachment 1831912View attachment 1831913View attachment 1831914View attachment 1831936View attachment 1831937
Kwanza aliona wapi, wanataka kujifananisha na Mountain Division ya India... Bado sana! 🤣 🤣 🤣Si nyie mmesema hamna information kuhusu jeshi lenu, sasa umejuaje km mumeifunga mt kili
Hata hizi za wanajeshi tutawanunulia pia, msiwe na wasi, limeni, sisi tuko vitani huku tunakomaa! 🤣 🤣Umeona unanze matusi. Mimi nitaendelea kukuelimisha.
View attachment 1831938
View attachment 1831939
View attachment 1831946
Hawaamini tulipiga bonge la Mission, kuanzia baharini, angani hadi nchi kavu. Kulipokucha tyu, tayari Kismayo wakenya wanachoma nyama kwa ugali! 🤣 🤣 🤣KDF kisimayu walipigana pekeyao
Duh, hii variant ya India imekuja vibaya! Ni maombi tu na kuwa careful#Real Rumors,Museveni son Dead(Mkubwa wa wanajeshi Uganda) and Museveni amepandishwa ndege akapelekwa Germany,Amedevelop serious breathing problems🙏Pray for Him,Uganda 200 mps hospitalized after testing positive for Corona virus,Watanzania mjichunge Tafadhali,Don't Joke
Economykwa slums sio? na renders?
Watu waombe walaiDuh, hii variant ya India imekuja vibaya! Ni maombi tu na kuwa careful
BTW, it's rumors though, ako hai, he's personally confirmed it!
View attachment 1834457Inaonekana mchakato wa project ya BRT awamu ya tatu ya nne na ya tano unakwenda poa! Tukiweza kucover haya maeneo kwa BRT na tukaendesha kwa ufanisi Dar itakwenda mbali kwenye swala la public transport pamoja na muonekano kwa ujumla plus these projects;
Msimbazi basin
Coco Beach
Tunajua hamna hata spare za A-100 na hamjawahi fanya field test!![]()
![]()
BTW, Pakistan wali upgrade, wanaunda variant zao wenyewe sahi(local)... Nyinyi sasa, duh!
![]()