Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umeanza kutuonesha ndege. Sasa utashindana na Natron, Monduli

1624891180233.png


1624891206571.png


1624891286818.png


1624891341046.png
 
Nakuru County is endowed with a huge capacity geothermal power production. Going by the amount of geothermal power produced at Olkaria to the national grid, Kenya is now the world’s eighth largest producer of geothermal power worldwide.
2823222_olkaria_II_ARGeo.jpg


Menengai geothermol power still in nakuru
images (62).jpeg
images (61).jpeg


olkaria_II_ARGeo.jpg
 
Facts za vijiweni hata wewe mwenyewe wajua, Bongo na Nigeria ndio wachawi wa kufa mtu dunia hii! Ati Kenya ata huna aibu, hatuna uoga huo huku, sababu mambo hayo hayako sana, ila nyie, duh... Yaani uchawi ka chakula!
Mm niliwahi kuambiwa na uncle wangu ambaye alisoma na kuishi Kenya, akaniambia wakenya ni wana roho mby na ni wachawi mno, ukimpita darasani basi kesho huamki salama, au hata mpirani ukimchukulia namba anakuroga, yeye mwenyewe uncle kawahi kurogwa, na alijua kwamba karogwa baada ya kuambiwa na rafiki yake ambaye alikuwa mkenya na alipelekwa kwa sangoma na huyo mkenya.
 
Back
Top Bottom