Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Test !????...we chizi nini!!!..hizo hadi kuzitumia tumewahi,in short tunamiliki hizo machine tangu miaka ya 70
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Inaonekana pale Ilala Kota,Kuna project kama ya Magomeni itaanza!!!Sijui mradi mzima unagharimu kiasi gani?!
Screenshot_20210629-121308.png
 
Test !????...we chizi nini!!!..hizo hadi kuzitumia tumewahi,in short tunamiliki hizo machine tangu miaka ya 70
Wewe mpuzi sana, ati 70's?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wacha kutema utumbo karibu na mimi! 🀣 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ Kanywe chai kibandani, naja kulipa, kilaza wewe! πŸ˜¬πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
Screenshot_20210629_121722.jpg

Screenshot_20210629_122013.jpg

Screenshot_20210629_121452.jpg

Screenshot_20210629_121352.jpg

NB-Pakistan wana produce variant yao ya A-100 wenyewe sahi, nyie je??? Hata hand/fragmentation grenade mnaweza tengeza??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Inaonekana pale Ilala Kota,Kuna project kama ya Magomeni itaanza!!!Sijui mradi mzima unagharimu kiasi gani?!
View attachment 1834425
Screenshot_20210627-150120_1.jpg
Inaonekana mchakato wa project ya BRT awamu ya tatu ya nne na ya tano unakwenda poa! Tukiweza kucover haya maeneo kwa BRT na tukaendesha kwa ufanisi Dar itakwenda mbali kwenye swala la public transport pamoja na muonekano kwa ujumla plus these projects;
Msimbazi basin
Coco Beach
 
Unatakiwa uwe makini sana mpaka kumuamini Mkenya
Nyie ndio wa kuaminika ati? Mnabandika picha za Haiti na Cameroon hapa, eti ni KE.. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ’‰ πŸ’‰ πŸ’‰ πŸ’‰ Tunawaonea 18 dadeq! 🀣
 
Back
Top Bottom