The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hii mbn hukuitolea ufafanuzi, si ipo Kenya au?hahaha.... nimekushika fala hii.. hapa ni nakuru.. hebu wacha nikuoneshe kwa angle ingine ndo uelewe. kumbe kweli nakuru zaidi ya mwanza na arusha..
View attachment 1834143 View attachment 1834164 umekubali sasa.. ama ka bado hauniamini, hebu tu google nakuru's "njoro interchange" na "section 58 interchange".
ama ucheze kwa App ya GoogleEarth
















,anza kuandika suicidal note,huna lingine