Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,063
- 8,227
A100 hadi wachina wenye kuzitengeza kwao walizikataa zitumike na vikosi vyao. Wakaona heri muuziwe nyie msiojielewa. Rejects! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Heri upewe used, atleast utajua kimefanya kazi na kikakubalika, ila nyie mnanunua rejects za kampuni ya kichina iliyonyimwa tender na Jeshi la kichina lenyewe. Alafu ile mbaya zaidi, nchi mbili dunia nzima ndio mlinunua, hehehe Pakistan na Tz... Kazi kwenyu. Spare ni hela yenyu, hazitengezwi tena! [emoji1787]
Unahis tuna a100 pekee ..kuna BM 21, kuna BM 27 Uragan hizo zipo 48.. na PHL 03 ..ziko 13 unazjua PHL 03 wewe
Kwanza nyie mna MRL hata moja