Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio sandton unaishobokea haina lolote jipya kwa upperhill ama westlands
We nilikua nakuona unaakili na uelewa sasa umeanza kutoka mstarini...
Sandton ni miles ngap kutoka Jozi CBD?
Upande wa infrastructure wamezingatia sana na zipo za kiwango cha kimataifa,uwekezaji Wa majengo ya makazi na biashara ni wakiwango cha hali ya juu sana...

Meanwhile upperhill mmejenga majumba barabara za hovyo,hawkers, mama mboga, mama kila kona usietegemee kulikuta ilo sandton...bado mmeruhusu vibanda umiza along road sasa izo tayar zinawatoa kwenye ushindani. ..city sio maghorofa pekee
 
Mwendo mkali wap sema mnaenda kienyeji sana,hawkers hadi upperhill,potholes barabara sasa mtacompete aje na smart city kama sandton...bumps nazo kila mahali haha labda kama mtacompete wenyewe
wewe uko dar slum, utajuaje upperhill ama westlands.....
usidhani kenya ni tz,.. kenya ni nchi tofauti sana!
 
Kama niliyoyasema ni uongo thibitisha
Naweza hata kua Wapi lakini nimeongea ukweli
 
Mwendo mkali wap sema mnaenda kienyeji sana,hawkers hadi upperhill,potholes barabara sasa mtacompete aje na smart city kama sandton...bumps nazo kila mahali haha labda kama mtacompete wenyewe
Duh!!tuusan ushwaifika westy na upperhill kwel recently au na wewe umeamua kuendekeza....
 
We nilikua nakuona unaakili na uelewa sasa umeanza kutoka mstarini...
Sandton ni miles ngap kutoka Jozi CBD?
Upande wa infrastructure wamezingatia sana na zipo za kiwango cha kimataifa,uwekezaji Wa majengo ya makazi na biashara ni wakiwango cha hali ya juu sana...

Meanwhile upperhill mmejenga majumba barabara za hovyo,hawkers, mama mboga, mama kila kona usietegemee kulikuta ilo sandton...bado mmeruhusu vibanda umiza along road sasa izo tayar zinawatoa kwenye ushindani. ..city sio maghorofa pekee
Onyesha hao mama mbogas upperhill, watawauzia akina nani jamani..labda wazee wa construction sites, hakuna permanent vibandas hko
 
We nilikua nakuona unaakili na uelewa sasa umeanza kutoka mstarini...
Sandton ni miles ngap kutoka Jozi CBD?
Upande wa infrastructure wamezingatia sana na zipo za kiwango cha kimataifa,uwekezaji Wa majengo ya makazi na biashara ni wakiwango cha hali ya juu sana...

Meanwhile upperhill mmejenga majumba barabara za hovyo,hawkers, mama mboga, mama kila kona usietegemee kulikuta ilo sandton...bado mmeruhusu vibanda umiza along road sasa izo tayar zinawatoa kwenye ushindani. ..city sio maghorofa pekee
Mzee, tatizo la hawkers na vibanda zisikuumize akili maana ni vitu temporary ambazo wakti wowote zinaondolewa serikali ikijiskia.
Kuhusu infrastructure nani leo hii angetabiri tungejenga expressway kwa mwaka mmoja, hakuna. Kwa hio tunaweza amka siku yoyote na kutangaza miradi mingi kama upperhill viaduct.
Bottomline ni kwamba Nairobi inakuja kwa kasi ambayo inanipa matumaini makubwa sana.
 
Mzee wa Rally ya Marl boro. Unahangaika sana. IDs zote hizo unalipwa!? Tafuta pesa kijana.
 
southern bypass interchange inatesa sana! its lit💥 View attachment 1833008
nikusaidiaje asa ww kilaza.. hii yote ni nairobi southern bypass interchange
nairobi western bypass.jpg
nairobi southern bypass.jpg
 
10 soldiers die, 13 hurt as military chopper crash lands in Kenya​

THURSDAY JUNE 24 2021​

Kajiado KDF chopper crash

Kenya Defence Forces (KDF) personnel cordon off the scene of the military helicopter crash in Oltepesi, Kajiado West, on June 24, 2021. Ten Kenya Air Force soldiers died in the crash. PHOTO | VINCENT ACHUKA | NMG
ADVERTISEMENT

Vincent Achuka pix

By VINCENT ACHUKA
More by this Author

Ten Kenya Air Force personnel have died while 13 others sustained injuries after the military aircraft they were in crash landed during training in Kajiado West, south of the capital Nairobi.

According to a statement signed by the Kenya Defence Forces (KDF) Spokesperson Zipporah Kioko, the Mi 171E helicopter crash landed around 9am on Thursday.

Col Kioko added that those who were injured were taken to the Defence Forces Memorial Hospital in Nairobi. Bodies of the 10 soldiers who died in the crash have been moved to Nairobi.

She said aircraft accident investigators were at the scene to establish the cause of the crash.

Kajiado West Deputy County Commissioner Muranga Morakwa said that KDF has been training in the area for a long time.

Prior to the crash, the helicopter circled in the air for over 20 minutes as those on board scrambled to jump out.

Huko Kenya mna shida gani mbona helcopter zenu zinaanguka Sana?
 
Back
Top Bottom