Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
Viwanja vyetu vinahitaji maboresho kidogo sana,sasa sijui tunakwama wapi!?
Umewastua sn, kwn hii ndio fumba au?
actually ilisimama walitakiwa wawe mbali maana ilianza 2017!Hii ni project tofauti na Fumba
yaani sioni sababu ya kwanini nia yetu ya kuwa transport hub isiwezekane!Now it turning to be importnat to supply and sell Gas to other EA nations ..i can now feel the effect the Natural Gas is bringing to the Economy ..The pipeline inaendelea kuleta umaana sasa ... Nilikuwa nasoma Daily News ..50 factories now use Gas ...And Tz has saved about billions of Usd if oil was used to generate energy and run industries
actually ilisimama walitakiwa wawe mbali maana ilianza 2017!
yaani sioni sababu ya kwanini nia yetu ya kuwa transport hub isiwezekane!
hahaha.... nimekushika fala hii.. hapa ni nakuru.. hebu wacha nikuoneshe kwa angle ingine ndo uelewe😆😆😆. kumbe kweli nakuru zaidi ya mwanza na arusha..😂![]()
![]()
Hizi zipo Nakuru sehemu gani? au umezifyatua huko nyuma kwako?
ata kwetu ocha mashinani kericho, interchange inajengwa.. ndo ujue kweli kenya sio tanzania..hahaha.... nimekushika fala hii.. hapa ni nakuru.. hebu wacha nikuoneshe kwa angle ingine ndo uelewe😆😆😆. kumbe kweli nakuru zaidi ya mwanza na arusha..😂View attachment 1834143View attachment 1834145 umekubali sasa.. ama ka bado hauniamini, hebu tu google nakuru's "njoro interchange" na "section 58 interchange"
Hamna interchanges/flyovers kama hizo nnakuru ndo maana huwezi leta picha nyingine!hahaha.... nimekushika fala hii.. hapa ni nakuru.. hebu wacha nikuoneshe kwa angle ingine ndo uelewe😆😆😆. kumbe kweli nakuru zaidi ya mwanza na arusha..😂View attachment 1834143 View attachment 1834164 umekubali sasa.. ama ka bado hauniamini, hebu tu google nakuru's "njoro interchange" na "section 58 interchange".
ama ucheze kwa App ya GoogleEarth
Kwani lori za Dangote c zimeanza kutumia gesi mda tu?