Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili jengo ni la nini? lipo Mbagala? linapendeza...

2818278_IMG_20210614_171219_548.jpg
Lipo Kurasini .
 
Kariakoo is not a CBD..but those photos are so beautiful.. Thanks for awesome pics
Now how can you separate Kariakoo and the CBD in Dar, then where is the CBD??? When you walk around in Dar you get to see that the CBD people refer to is more of Posta and Kariokoo.
 
Mental slavery inawatesa sana.

Wachina kufundishwa kwa kichina hushangai.

Waarabu kufundishwa kwa kiarabu hushangai.
Nchi mbalimbali kufundishwa kwa kutumia lugha zao hushangai.

Ila Watanzania kufundishwa kwa kiswahili unashangaa.

Kenya not yet Uhuru.
ona... Tz is a very very small/minute influence in the global platform. waChina wako sawa kutumia Mandarin kwa masomo yao coz wao atleast wako na usemi duniani. (uchumi yao inatishia ata ya US na EU). na nyinyi jee...🤔. ole wangu watzii.. ata africa yenyewe hammpo
 
ona... Tz is a very very small/minute influence in the global platform. waChina wako sawa kutumia Mandarin kwa masomo yao coz wao atleast wako na usemi duniani. (uchumi yao inatisha ata ya US na EU). na nyinyi jee.... ole wangu watzii.. ata africa yenyewe hammpo
So uchumi yao ilianza kwa kutisha au sio? Kwanini nyie wakenya hamna akili za ku argue hata vitu vidogo vidogo? Elewa jamaa alichosema zen ndo uongee, ivi nyie mmeenda shule kweli nyie? Km kingereza ndo akili mbn nyie hamna kabisa akili? Tunawazidi kila kitu humu kwenye hii battle kuanzia kuelewa mada, matumizi ya lugha zote tunawazidi, yn nyie mmejaza Mavi tu kwenye miili yenu
 
Back
Top Bottom