Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FB_IMG_16245410629698859.jpg


FB_IMG_16245410539626832.jpg


FB_IMG_16245410462092634.jpg


FB_IMG_16245410396713059.jpg
2818123_F726A43B-C5F7-4FA7-87FD-75CF65B11CDC.jpeg
 
Maeneo yote yaliopakana na Tanzania yanaongea kiswahili na huko cost ni part of it, kama kiswahili kingekua chenu saivi Somalia, Sudan, Ethiopia na wenyewe wangekuwa wanaongea kiswahili
Historia uchwara
 
Haya nd matokeo ya bad education system nkt hata kijana hajui mandarin chinese is the largest spoken language in the world.... sasa ona ubaya wa kujifungia uswahilini tembea dunia ujue mengi na pia soma kitabu. Toa ushamba mtandaoni
The difference is, wao walikikumbatia kisa nyerere kasema..kumbe alikua na maana ya ficho, ndio manake mpka sasa wanateseka kw zile sera zake za kipumbavu
 
Nini maana ya mother tongue.? By definition, mother tongue is the first language for a person to acquire, the language which a person has grown up speaking from early childhood.. Kiswahili ni mother tongue kwa watanzania wengi kwasababu ya ile sera ya ujamaa, watu wa makabila tofauti walikutanishwa na Kiswahili wakaishi pamoja, wakaona, wakazaa, kitu kilichopelekea watoto wengi waliozaliwa kwenye majiji na towns kutojua kabisa vernacular languages za wazazi wao, kwa mfano Mimi binafsi sijui lugha ya baba wala mamaangu, najua Kiswahili na kiingereza kwa asilimia fulani basi.. NB: kuna hatari ya hiz vernacular languages kupotea kabisa hapa tz since watu wengi wanakimbilia mijini kuanzisha maisha, ni mara chache sana kukutana na mtanzania anaishi mjini akizungumza lugha za kikabila, na kwamaana hiyo basi Kiswahili has now become the mother tongue and the first language to many Tanzanians.. sijui unanielewa Simba .?
ongeza na hii pia apate kukuelewa vizuri
20210624_080649.jpg
 
We nae kumbe ni hater tu 😂😂😂 pole sana, kwani gari ikiwa ni left hand ikija tz bas ni lazima iwe imekwisha tumika.? Yani kwamba tz gari zote za left hand zinazoingizwa ni used.? Acha kuwaza na matako wewe, hujui chochote kuhusu Platnumz tuliza mshono, na amesema amenunua gari tatu Cadillac Escalade mbili na RR, by the way Cadillac Escalade black edition ya lexani motors 2020(upgraded) ni ghali kuliko Rolls-Royce 2021 in case you don't know, go google the price, hiv kwa akili zako timamu Platnumz ashindwe kununua gari zero km kweli.? Hiv unajua Platnumz ana gari zisizopungua tano tena zote ni juu 100m .? View attachment 1828236hizi alizinunua zero km, ama kwa hiyo gari nyeusi ni ya 2019 na hizo mbili nyeupe ni za 2020 .. alaf atashindwaje sasa kunua gari kama Cadillac Escalade jamani.? 😂😂 Alaf amenunua Cadillac Escalade mbili ujue ya kwanza ilikua hii hapa . Wenzako wanapata mhaho uko kama wewe unavyopata, mara ooh ile gari ya kwanza ilikua ya mtoto wa bakhresa, mara hii ya jana nayo ilikua gari ya lugumi 😂😂😂 amuweni wenyewe kanunua second hand kutoka ulaya na Dubai au ni gari za kina lugumi na mtoto bakhresa.. Yani haters ni vituko nyie loh, mara Cadillac Escalade sio luxury car 😂😂, unaijua Cadillac Escalade we mpuuzi.? Au unataka nikuingize darasani na mada ya magari.? gari zinaendeshwa na akina j-zee, Donald Trump, Floid Mayweather, kim cardashian, Justin Bieber, tz yenyewe wanaomiliki ni watu wachache sana alaf uje useme sio luxury car kwasababu unamchukia Diamond, we ni matako nini.?

Hii gari ya kwanza kushoto kuna Mji nakoishi anayo jamaa 1 tuu huwa anatulingishia Sana mara 😆😆😆😆 ni gari nzuri ila maalumu kwa kulia Bata.

Gharama yake si chini ya 200mil. kama ni zero km
 
Back
Top Bottom