tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
99% ya wakunya wana sura mbovu mfano angalia hao waomba mikopo waohuyu ndio HB wao![]()
Mkuu Ungemuacha ajifurahishe wanashangilia Sana saiv kwenye pm😀Mzee hiyo siyo kamusi. Ni translator kama google translator. Anybody can edit.
Tafuta Oxford
View attachment 1827104
Ninaposema kitu huaga sibahatishi mzee, hii nayo wame edit sio..Mzee hiyo siyo kamusi. Ni translator kama google translator. Anybody can edit.
Tafuta Oxford
View attachment 1827104
The tallest residential building in east and central AfricaView attachment 1827055
Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
Hahaha, kama ugoko wa Mamba
Kiswahili chenu kipi, toka lini nyie mkawa na lugha.Hehehe!!usinifundishe kuongea kiswahili chetu
Katika historia ya kiswahili sijaona BAKITA mimi
Level gn nguo au? Hii mifala hii kweli tuna kazi ukanda huu, niambie mmeshinda vita gn zen uje kujigamba co unaniambia nguo.Hizi level mtafika lini wabongo?
View attachment 1827052
Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
Yenu ipi iyo inayoharibu lugha yetu.Nyinyi mna kamusi yenu sisi tuna yetu
Sometimes jamaa unafaa kutuliza ubongo kabla ulukie post yoyote..... first hili jengo umepost sio residential,alafu residential ndefu Tz ni ile ya mzizima na hata haifiki 107m kwa urefu
Kiswahili chenyewe wamejifunzia humu humu kwenye huu uzi na bado wanaleta ujuaji, yanakera sana makenya.Unatuletea domain za mabwana zako siyo. Mzee unataka nikuumbie.
Unaijua Glosbe ni nini!?
View attachment 1827079View attachment 1827080View attachment 1827082
Iko na 26fl na 126m kwa urefuFloor ngap/meter ngap?
Uyo demu ni fala sn.Mwalimu wako alikua na kazi Sana![]()
Mtulazimishie ndio kiswahili gani ss.Tayari uliambiwa alikua akifuatana na babake, unataka nini zaidi..
Alafu nyie ndio vichwa ngumu, mbona mtulazimishie kamusi zenu![]()
Gtc complex jengo ndefu la residential liko na 34 floors lakini sio ndefu kwa le'mac sababu ni la 116mUmoja wa vijana CCM towersView attachment 1827112
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Si hata kiswahili cha kwanza walianza kuongea wazungu au sio? Fala kweli wewe demuKamusi ya kwanza iliandikwa na wazungu, nyie mnajua nini bana![]()





Vilaza kutoka dar slum havijui tofauti kati ya residential na commercial building..... then le'mac urefu unaongezeka kwa sababu ya kichwa kilicho huko juuView attachment 1827125hapo vipi .? Unapendaga kujifurahisha wewe .. 20 vs 37 floors .. uwe na utamaduni wa kuuliza kabla hujaropoka
Ficha ujinga wako wewe.Vilaza kutoka dar slum havijui tofauti kati ya residential na commercial building..... then le'mac urefu unaongezeka kwa sababu ya kichwa kilicho huko juuView attachment 1827170
Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app