Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani hio bus station inaeza pokea train 😆 😆 😆 😆 😆
Tunasema namna mlivyo nyuma. SGR Station yenu mbovu inazidiwa na Bus Stand ya Morogoro
images - 2021-06-22T150856.889.jpeg
images - 2021-06-22T150839.704.jpeg
images - 2021-06-22T150913.332.jpeg
images - 2021-06-22T170357.388.jpeg
 
Kiswahili chetu sio lazima kifanane ni kiswahili chenu mbaya. Huku Kenya mnyama huyo anaitwa Swara. End of story. Full stop.
komora096 wachana na hawa wajinga. Unapoteza muda wako bure. Hata kiingereza cha marekani hakifanani na cha Uingereza. Hatutalazimishwa kutumia kiswahili chao kibovu. Sisi tuna kiswahili chetu.
Wacha ujinga, lugha ni moja hakuna kusema kingereza cha mmarekani na muingereza ni tofauti, hakuna kitu km hicho, kingereza ni kile kile tofauti matamshi tu, lkn cha kuandika ni kile kile, ila wamarekani hawajabadili maneno km nyie mnavyobadili neno eti swara!! Ndo upuuzi gani huu.
 
Kwahiyo akiwa humu anajifanya mara komora mara mk mara coco yn ana kazi kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo anatumia ID moja siku hizi.
Kipindi cha nyuma alikuwa na ID ya kujifanya Mtanzania.

Hizo ip ni za wengine niliambatanisha tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom