Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,927
- 103,797
Lipotezee hilo. Unapoteza muda wako bure.Swara ndo nini? Umeshaambiwa mara Mia swala ndo Neno sahihi for the name gazelle/antelope kwetu ukija na hilo utakula kibao 🙂wakenya mnaongea Kiswahili mandazi
Wewe komora096 , Coco rebornKumbe na wewe tayari marinda huna![]()
Watakuja hapa wakuambie nchi yao ndiyo ina amani, tena watakuletea na ka link ushuzi cjui wanavitoaga wapi




Wacha usenge hakuna kitu kinachoitwa swara kwenye kamusi ya kiswahili kutoka Bakita.




Kiswahili chetu sio lazima kifanane ni kiswahili chenu mbaya. Huku Kenya mnyama huyo anaitwa Swara. End of story. Full stop.Wacha usenge hakuna kitu kinachoitwa swara kwenye kamusi ya kiswahili kutoka Bakita.
Sasa hii ndoto ndio unapost hapa? Ndoto ambayo haitawahi kutimia?![]()
Construction of US $30bn LNG project in Tanzania to begin in 2023
Construction works on US $30bn liquefied natural gas (LNG) project in Tanzania is set to begin in 2023. Energy Minister Medard Kalemani announced the plans and said the scheduled date follow the resumption of talks with companies including Equinor ASA. Construction is expected to take about five...www.jamiiforums.com
Mzee wa kuhesabu pesa za matajiri aka cashier aka Stivo Simple Boy.Sasa hii ndoto ndio unapost hapa? Ndoto ambayo haitawahi kutimia?
Tony254 aka Stivo Simple Boy umekula kweli!? Naona umehamia kwenye kiswahili.Kiswahili chetu sio lazima kifanane ni kiswahili chenu mbaya. Huku Kenya mnyama huyo anaitwa Swara. End of story. Full stop.
komora096 wachana na hawa wajinga. Unapoteza muda wako bure. Hata kiingereza cha marekani hakifanani na cha Uingereza. Hatutalazimishwa kutumia kiswahili chao kibovu. Sisi tuna kiswahili chetu.
Looser + midiocre its equivalant to coco mafii![]()
![]()
![]()
huyu kwao utapata ndo amesoma sana.
Hiyo ni heavy duty truck, Chevy Silverado 3500hilo dude huko nyuma ina matyre mawili mawili.. linaonekana zito sana kwa nyuma
View attachment 1818335
Yupo, vipi niku connect uolewe? 😁😁😁Akothee yupo!?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mhurumieni kaanza kuchanganyikiwa anakwambia hakuna kitu from the groundKwahiyo jeshi linakaa mjini au sio
Huyo huwa anajibu tu hafikirii hata![]()
Hebu angalia ulivokua mwehu wa level yakipekee 🤣🤣🤣👇👇👇 tumia macho tu wala usitumie nguvu hapo ground iko wapi alaf tazama na hii ground iko wapiHauwezi kushinda hii mada sababu iko juu ya uwezo wako wakufikiria, teremsha chupi nikuchome 👇 👇 👇 🤣 🤣 💉 💉 💉 View attachment 1825967
🤣🤣🤣🤣🤣 two level interchange again pangani mbona munanichukia sanaichoboy mwanaume kibintibinti kakiarabu..
kama kwako hii pangani interchange ni two levels, kamuone daktari akupe💉💊. naona kaswende imekupanda akili View attachment 1825972
Show me ground from netherland interchange and nioneshe ground ya kwenu hapo hata hio pia huoni 🤣🤣🤣🤣🤣Ametoroka 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 narudia tena the only three level interchange with roundabout bara nzima iko mombasa pekeeView attachment 1825975View attachment 1825977