Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We mpuuzi sio swala ni suala, kwanini unarudia makosa yale yale unayoelekezwa usifanye?
Mna utoto sana Watanzania. Ni sawia na Mmarekani kumueleza Muingereza kwamba ni color sio colour. Wote wapo sawa tu. Hata kifaransa kina utofauti kulingana na eneo linalozungumzwa. Mna ujinga sana
 
Anaendelea kujilipua, shukran sana kwa kujidunga sindano, hii sasa ndo ground level. Angalia upande wa kushoto vile inaingiliana vizuri na mwisho wa flyover.View attachment 1826226
Nakuuliza au sio hiii 🤣🤣👇👇👇👇
Wapi na wapi mbingu na ardhi 😅😅😅
2AE1DE6B-D442-41B7-A7A3-CFDBC4E465B3.jpeg
56F26167-0C9E-4F73-82C8-3F05DA88CFF3.jpeg
 
Ametoroka tena 🤣 🤣 🤣 💉 💉 💉 👇 👇 , hii barabara ya katikati inaanza kama groundlevel lakini ikifika kwa interchange inazamishwa chini ilikupisha ring road na flyover, mfano ni hii mikindani interchange.View attachment 1826228

View attachment 1826227
Hii ni ground level au under ground mumechinmba tuanzie hapo kwangu hutoki wewe 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
09FCF951-2B06-46A7-9C4C-FEF04EA0B258.jpeg
 
mtu anakwambia dar kama mombasa alaf anapost picha ya usiku imekolea kiza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 salalaaaaa
 
How can this be an international Airport, what was Kenya government targeting during planning for this so called international Airport in Isolo?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hua wanajenga tu bila plan ndio maana debt inawakamua kalio zao
 
Ingekua tanzania wangezungumza mpaka mwakani 👇👇👇 KDF kazi yao kuiba shopping malls
 
Back
Top Bottom