Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JN STAR
Screenshot_20210622-113704.jpg

Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
 
Kiswahili chetu sio lazima kifanane ni kiswahili chenu mbaya. Huku Kenya mnyama huyo anaitwa Swara. End of story. Full stop.
komora096 wachana na hawa wajinga. Unapoteza muda wako bure. Hata kiingereza cha marekani hakifanani na cha Uingereza. Hatutalazimishwa kutumia kiswahili chao kibovu. Sisi tuna kiswahili chetu.
wachana sio kiswahili, pia swara sio kiswahili. sijui kwa nini hampendi kuambiana ukweli mtu hakikosea. arrogance ya kipuuzi . kakosea ni kawaida accept it then move forward
 
Jamaa wanapingana mpka na facts
Kuna moja nilileta hapa ina mpka bendera yao lkn bado hawataki..
Matatizo ya R na L hawa majamaa yanawaumbua tu kila siku
 
Wakikosea hutowaona wakiambiana ukweli cha ajabu utawaona wamejiunga wote wakitetea ujinga.

Wanasahau kwamba "wrong is wrong even if everyone is doing it"
 
Wanajiona kwamba wao waliunda kiswahili kumbe kiswahili kilikuja na waarabu.
 
Wakikosea hutowaona wakiambiana ukweli cha ajabu utawaona wamejiunga wote wakitetea ujinga.

Wanasahau kwamba "wrong is wrong even if everyone is doing it"
Kwn nyie ndio hamjajungana kukataa ukweli hapa, ninewatumia mara ngapi ushahidi lkn bado mumebaki malofa..
Kwanza mnatia huruma
 
Tena kaandika EFFLUENT.....hao ndio mabingwa wa Kiingereza.
Lugha ya Malkia hawaiwezi ila wanalazimisha tuu. Lakini labda alivyosema effluent huenda alimaanisha uchafu wa kibera na slum zingine
 
Back
Top Bottom