Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sibidiii ya blue towers kunauzwa maji ya fisiemu! 🤣 🤣 🤣 🤣

View attachment 1825911
Huyu anafanya nini?

2815005_Polish_20210621_170602029.jpg
 
Anasema mbona wanavamia msituni kazi ya jeshi sio kulinda mipaka ya nchi ama??[emoji1][emoji1]
Kwahiyo jeshi linakaa mjini au sio [emoji3][emoji3][emoji3]

Huyo huwa anajibu tu hafikirii hata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna tofaut kati ya level na storey [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ground level, second level and third level hapa pia unahitaji uwe na phd au [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu km second level katika ujenzi utachekwa..level zinaenda kw numbers tu mzee..
Kw mfano one level, two level, n.k..
Usitake kupotosha hapa hatuongelei majumba
 
Kwahyo kumbe akili zako zinavyokutuma ni kwamba sisi tunasema "Swala"kwasababu hatuwezi kutofautisha L na R [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we ni kum*** kweli wewe .. vipi asee huyu chalii wetu.? Nenda ukafanye assignment uliza wakunya wenzako ni Swala au Swara.? Hatuna neno Swara kwenye lugha ya kiswahili, mimi ni native speaker wa kiswahili, mbwa kama wewe utaniambia nini.? Sio tu kukiongea nimesoma kiswahili kuanzia chekechea mpaka advance form 5-6 Mimi nimesoma HKL, mbweha kama wewe utaniambia nini kuhusu kiswahili .?
Namuona kakasirika[emoji1787][emoji1787]
Eti mimi ni native speaker na wakati ni lisukuma tu la chato..

Bado nasubiria mkafute
20210621_201706.jpg
20210621_201457.jpg
 
Hakuna kitu km second level katika ujenzi utachekwa..level zinaenda kw numbers tu mzee..
Kw mfano one level, two level, n.k..
Usitake kupotosha hapa hatuongelei majumba
Tunajaribu kukufundisha uachane na upumbavu wako wa kike. Jifunze kuwa na staha. Mwanamke kuwa na tambia kama hizi ni mzigo kwa mumeo.

Mwanamke mpumbavu hupiga kelele, Ni mjinga, hajui kitu.
Mithali 9:13
 
Kwahiyo jeshi linakaa mjini au sio [emoji3][emoji3][emoji3]

Huyo huwa anajibu tu hafikirii hata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
al shabab sio raia wa somalia pekeake, sasa km wao waume mbona hawakwenda kambini..manake mandera kuna kambi ya jeshi pale miaka yote hyo hawafiki..

Habari yao hao kwisha, watabaki kuotea magari ya raia wema mwituni hko
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tafuteni three level interchange alaf muje kushindana kwa sasa hvi musipoteze nguvu zenu bure
Msomali wa kenya ambae ni al shabab nae atalindiwa mpaka gani, wale watanzania je
 
Kwn al shabab sio rai wa somalia pekeake, sasa km wao waume mbona hawakwenda kambini..manake mandera kuna kambi ya jeshi pale miaka yote hyo hawafiki..

Habari yao hao kwisha, watabaki kuotea magari ya raia wema mwituni hko
Wewe ni mpumbavu
 
Leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom