eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
ππππππ kazi kweli kweli
Waende Tanzania kuchukua mafundi na vifaa. Vinginevyo maghorofa yatakuwa yanaanguka tu. Maana huyu jamaa NairobiWalker ni mbishi sana.
ππππππ kazi kweli kweli
We bhana haujui kiswahili unyamaze πππ na hata iyo google haiwez kukusaidia chochote .. nimewahi kukwambia siku moja, kama unaona unajua kiswahili nikuulize swali.. nyoosha kidole jifanye kama unajikuna nikuoneshe.ππ. Ngoja nikurahisishie .. "Swala" ni neno tata (ambiguity) linamaana mbili tofauti, kuna "Swala" mnyamaπMoumbavu bibi yako kijijini, msituletee upumbavu wenu wa kushindwa kutamka baadhi ya herufi katika lugha yetu pendwa ya kiswahili..
Swala ni upupu gani km sio neno la kutoholewa tu, lkn kiswahili sanifu ni swara mzeeView attachment 1825743View attachment 1825745
The only three level interchange with roundabout in Africa, teremsha chupi udungweππππ€£π€£π€£π€£π€£ tafuteni three level interchange alaf muje kushindana kwa sasa hvi musipoteze nguvu zenu bure
Teremsha chupi upate chanjoππ ππππKwaiyo hiyo ndio interchange?hata ya kutambaa..ujinga mzigo....
Washaanza kuogopa mikindani interchange, rambeni dawaView attachment 1825827View attachment 1825832View attachment 1825834
daah mombasa itavutia baada ya hizi miradi zote kukamilikaWashaanza kuogopa mikindani interchange, rambeni dawaView attachment 1825827View attachment 1825832View attachment 1825834
siku kuje kutokee earthquake nadhani itakua balaa hapo Nairobi!It's Nairobi again. Kuna jamaa mmoja NairobiWalker ukimwambia kuwa 50+% of Nairobi buildings are not fit for human habitation. Anabishia sana.
π€£π€£π€£
Hio ni phase 1 tu mombasa to jomvu lakini ishawatoa kinyesi, bado phase 2 mpaka mariakani. Lazima watatuheshimu.daah mombasa itavutia baada ya hizi miradi zote kukamilika
Bwahaha!!we msukuma ndio wa kumfundisha kijana wa pwani kiswahiliWe bhana haujui kiswahili unyamazena hata iyo google haiwez kukusaidia chochote .. nimewahi kukwambia siku moja, kama unaona unajua kiswahili nikuulize swali.. nyoosha kidole jifanye kama unajikuna nikuoneshe.
. Ngoja nikurahisishie .. "Swala" ni neno tata (ambiguity) linamaana mbili tofauti, kuna "Swala" mnyama
View attachment 1825822 na kuna "Swala" ibada (kwa waislamu) .. alafu kuna neno "Suala" this means jambo fulani.. Kwenye kiswahili hatuna neno Swara
.. mwambie mwalimu wako wa kiswahili akurudishie ada yako..
. Umesoma kwanza.?

naona imekuumaee, kalia cha kati mzee km imekuuma sana .

Huyo ndio uozo kabisaa π€£π€£π€£π€£Waende Tanzania kuchukua mafundi na vifaa. Vinginevyo maghorofa yatakuwa yanaanguka tu. Maana huyu jamaa NairobiWalker ni mbishi sana.
hii ni wewe.. then we have Underground, Ground level and Upper level.. Pangani interchange hii. nugu weweππ€£π€£π€£π€£π€£ tafuteni three level interchange alaf muje kushindana kwa sasa hvi musipoteze nguvu zenu bure
Washaanza kuogopa mikindani interchange, rambeni dawaView attachment 1825827View attachment 1825832View attachment 1825834
Huruma inafaa kuwepo π€£π€£π€£π€£The only three level interchange with roundabout in Africa, teremsha chupi udungweπππView attachment 1825839
Wewe naona unamatatizo yako binafsi. Huoni hata wakenya wenzio wamekuchunia.Bwahaha!!we msukuma ndio wa kumfundisha kijana wa pwani kiswahilinaona imekuumaee, kalia cha kati mzee km imekuuma sana .
Eti jamaa nalo linajiskia lina akili kumbe kamasi tu, pangua hyo mzee km wewe bingwa sana la kiswahili..
Hamuwezi kutuharibia lugha kw lafudhi zenu za kipuuziView attachment 1825869View attachment 1825870
Tena ulivyomwehu unapinga mpka bendera yenu hapo kw translator kiasilia kabisa inamaanisha watanzania wenzako hapo walihusika licha ya wewe kuja jf kupinga kisa R na L kuofautisha kwako ni sawa na sisimizi kuwaza ubahili
Hii ndio three level interchange ??πππ au umepost baada ya kupanic mzee, tuliza kipumuliohii ni wewe.. then we have Underground, Ground level and Upper level.. Pangani interchange hii. nugu weweπ View attachment 1825886
Bro unapoteza muda wako na nguvu zako kubishana na hilo dudu ππππWewe naona unamatatizo yako binafsi. Huoni hata wakenya wenzio wamekuchunia.
Tafuta Kamusi ya BAKITA
Download APP hapa:-
![]()
Kamusi Kuu ya Kiswahili - Apps on Google Play
Kamusi Kuu Ya Kiswahili app is a Kiswahili digital dictionary of Longhorn.play.google.com
Hatuna neno swara kwenye kiswahili. Hizo kamusi zako uchwara ni upumbavu.
Utaanzaje kubishia watu wanatumia kiswahili kila Siku!?
Kwn mzee, hii bado ni ile ile project moja ya kuelekea mpka mariakani kabisa..Hio ni phase 1 tu mombasa to jomvu lakini ishawatoa kinyesi, bado phase 2 mpaka mariakani. Lazima watatuheshimu.
Hoja zimemuishia huyu, vaa chupi chanjo ushapata π€£π€£π€£π€£Huruma inafaa kuwepo π€£π€£π€£π€£