Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Wakati dar ikisubiri msaada kutoka morocco 🤣 🤣 🤣 mikindani interchange mombasa
Sio hio karibia zote we tulia time will tell umesahau ile daraja siku mbili kabla ya kufunguliwa likabutuka 🤣🤣🤣ila ujue nin🤣🤣🤣 ni hilo eneo wanapojenga hio flyover.. its denseless.. kumejaa udongo mtupu.. sasa flyover sijui ya nin?
Mumeona interchange hio 🤣🤣🤣🤣 kazi kweli kweliWakati dar ikisubiri msaada kutoka morocco 🤣 🤣 🤣 mikindani interchange mombasaView attachment 1825816
View attachment 1825808
View attachment 1825809
Interchange au kikaravatiWakati dar ikisubiri msaada kutoka morocco 🤣 🤣 🤣 mikindani interchange mombasaView attachment 1825816
View attachment 1825808
View attachment 1825809
Wataka kubishana na mimi mahali napita daily, hapo kwa juu barabara tatu zinakutana.Mumeona interchange hio 🤣🤣🤣🤣 kazi kweli kweli
🤣🤣🤣🤣🤣 unahasira sana wewe unaijua interchange kweli??Wataka kubishana na mimi mahali napita daily, hapo kwa juu barabara tatu zinakutana.
Wapuuzi sana hao...Mumeona interchange hio 🤣🤣🤣🤣 kazi kweli kweli
Jifunze maana ya interchange, hapo kwa juu kuna barabara ya kuingia mikindani ambayo imelazimu kuchimbwe underpass.Interchange au kikaravati
Mbona wanavania rai msituni km wao ni wanaume kweli..Tayar mambo yamewaka tena, ohh sisi tuna jeshi imara ohh sisi nye nye tuna vifaa vya kivita
Asante sana kijana naona siku hzi unamheahimu sana injinia jichoboiWapuuzi sana hao...
Kwaiyo hiyo ndio interchange?hata ya kutambaa..ujinga mzigo....Wakati dar ikisubiri msaada kutoka morocco![]()
![]()
mikindani interchange mombasaView attachment 1825816
View attachment 1825808
View attachment 1825809
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wavumilieni tuKwaiyo hiyo ndio interchange?hata ya kutambaa..ujinga mzigo....
huko juu barabara mbili au tatu zimecross tatizo dar iko moja tu sasa hamwezi elewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unahasira sana wewe unaijua interchange kweli??
😆😆😆😆 nendeni nao taratibu tuWapuuzi sana hao...
🤣🤣🤣🤣🤣 tafuteni three level interchange alaf muje kushindana kwa sasa hvi musipoteze nguvu zenu burehuko juu barabara mbili au tatu zimecross tatizo dar iko moja tu sasa hamwezi elewa🤣🤣🤣🤣
Panga matofali kwenda juu flyoverhuko juu barabara mbili au tatu zimecross tatizo dar iko moja tu sasa hamwezi elewa🤣🤣🤣🤣