Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maneno ya leso hayo
Insha yote kisa umeshikwa kunako, nimekwambia km hutaki kajinyonge mzee baba..
Unajitia kujua kumbe zuzu la mwisho, eti mimi sasa ndio wakufundishwa kiswahili na watu wapumbavu km nyie...
Mtu unakaata mpka facts alafu mwisho unakimbilia matusi ya kishamba...
Pole sana mzee, nadhani somo limeingia vizuri
😂😂😂 We ni wakuonewa HURUMA .. pole .. ni kichaa pekee ndio anaweza kuendelea kujibizana na mpunga kama wewe, umekula lakini.?
 
Sure, kumbe hii haiko Kenya!!!??
Mii ndiyo maana nawaogopa hawa jamaa kina Tony254. Ni waongo waongo sijapata kuona.
🤣🤣🤣🤣🤣 ipo ethiopia walikua wanadanganya nayo hapa kama kawaida yao wamekosa three level sasa wanaforce two level na yenyewe iitwe three level
 
3 level interchange
1st on ground
2nd top on the ground
3rd top on second level

mbona ni rahisi tu 🤣🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 1825933
Kwa hio hii hutaki we engineer uchwara, the only three level interchange with roundabout in africa🤣🤣🤣👇👇 ukipata kama hii africa nzima nitag.
IMG_20210621_230254_669.jpg
IMG_20210621_212924_496.jpg
 
Hata nyumba au jengo. Likiwa na basement + ground +1st floor/plan/level hatuiti 3 storey building. Tunaita double storey building.
Kuna tofauti ya storey na level, msije mkajichnaganya bure
Ndio manake jengo hata liwe la ghorofa sitini haliwezi likasemekana ni la level sitini la!! bali unaeza sema "60 floors above the ground level"
 
Hata nyumba au jengo. Likiwa na basement + ground +1st floor/plan/level hatuiti 3 storey building. Tunaita double storey building.
Yani ni vitu vinahitaji akili ya ziwa la mama tu linatosha 🤣🤣
 
Back
Top Bottom