Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hio hii hutaki we engineer uchwara, the only three level interchange with roundabout in africa🤣🤣🤣👇👇 ukipata kama hii africa nzima nitag.View attachment 1825942View attachment 1825944
What i see 🤣🤣👇👇👇👇 ona ground floor hii alaf ona na hio
2D2BADFD-0CCC-47C9-BA54-ACF2D7CFF3CB.jpeg


ikiwa huoni hata kupapasa huwezi😂😂
3860B70D-7B10-4AC8-B58D-079BF96D1D52.jpeg
 
Wewe naona unamatatizo yako binafsi. Huoni hata wakenya wenzio wamekuchunia.
Tafuta Kamusi ya BAKITA
Download APP hapa:-


Hatuna neno swara kwenye kiswahili. Hizo kamusi zako uchwara ni upumbavu.
Utaanzaje kubishia watu wanatumia kiswahili kila Siku!?
Halafu kajisifia kabisa anatoka pwani so anaongea kiswahili fasaha!unajua mungiki wa mombasa wanawadanganya mungiki wa bara eti wanaongea kiswahili fasaha,wakati wao kiswahili awakiwezi!
 
What i see [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] ona ground floor hii alaf ona na hio View attachment 1825954

ikiwa huoni hata kupapasa huwezi[emoji23][emoji23]View attachment 1825955
Level na floors ni vitu viwili tofauti we mwehu[emoji1787][emoji1787]
Yani unaoenda kujichanganya mpka naskia raha sana..
Hakuna kitu km km ground floor kw levels mzee

Chukua somo kiasi
20210621_231339.jpg
20210621_231307.jpg
 
Kuna tofaut kati ya level na storey 🤣🤣🤣
Ground level, second level and third level hapa pia unahitaji uwe na phd au 😂😂😂
 
Yani unalalama mpka unatia huruma[emoji1787][emoji1787]
Tatizo sio mimi, R na L ndio zimeleta yote haya
Kwahyo kumbe akili zako zinavyokutuma ni kwamba sisi tunasema "Swala"kwasababu hatuwezi kutofautisha L na R 😂😂😂😂 we ni kum*** kweli wewe .. vipi asee huyu chalii wetu.? Nenda ukafanye assignment uliza wakunya wenzako ni Swala au Swara.? Hatuna neno Swara kwenye lugha ya kiswahili, mimi ni native speaker wa kiswahili, mbwa kama wewe utaniambia nini.? Sio tu kukiongea nimesoma kiswahili kuanzia chekechea mpaka advance form 5-6 Mimi nimesoma HKL, mbweha kama wewe utaniambia nini kuhusu kiswahili .?
 
Panga matofali kwenda juu flyover ila mchina sijui kwann anafanya haya mambo kenya

Kitu kimeitika mapema asbh [emoji3166][emoji3166][emoji3166]
Tayar mambo yamewaka tena, ohh sisi tuna jeshi imara ohh sisi nye nye tuna vifaa vya kivita
Hii nchi aisee ni zaidi ya MAVI.
 
ila ujue nin[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni hilo eneo wanapojenga hio flyover.. its denseless.. kumejaa udongo mtupu.. sasa flyover sijui ya nin?
Hayana akili haya mang'ombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sio hio karibia zote we tulia time will tell umesahau ile daraja siku mbili kabla ya kufunguliwa likabutuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We jamaa lugha zako, eti likabutuka, yn nmecheka sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kilaza mwngine huyooo[emoji1787][emoji1787]
Karibu sana, jiunge na wewe..manake kujitoa ufahamu kwenu kawaida
Jibu swali langu umemaliza kuosha vidonda vya wagonjwa!?
NB: Acha kuparamia vitu usivyovijua. Endelea na kazi yako ya nursing ndio unayoiweza kiasi.

Huku waachie nguli.
 
Nimecheka kwa sauti kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa kapeleka moto beki kadaka
Nimecheka kinoma, beki kadaka alafu beki mwenyewe Semedo, fifa ya wapi hii au ya Kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom