Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Tunasubiri over 1b project iko jikoni


Hivi ndio vitu vya kujivunia sasa,sio kunyaland wanajivunia express way ya mkopo kama vile nchi nyingine zikiomba mkopo kama huo zitanyimwa,kunyan TZ ina vipaumbele vyake pambavu
 
Ichoboy si anateseka sana, atakwambia hzo wamenunua wanasiasa
Wanaleta nyumba za serikali, yaani ukitoka tu serikalini, unatoka na mizigo yako unaachia mwenzako atakayekuja. Hawawezi kununua units ziwe zao na familia zao permanent! 🤣
 
tangu nimpe takwimu ya majumba mabovu ya nairobi, hajaonekana tena . yuko huko anaugulia maumivu huyo mkadiriaji majenzi. amekuacha wewe kwa sababu ni chizi kujielewi ndiyo maana huna aibu unabishia hata ukweli ambao National Construction Authority wameutoa baada ya rais wenu kuwaagiza.
Waendelee kuagizwa tu, mtajua wenyewe...
 
Mbn mnajichanganya sasa, mwenzio anasema hapa ni Zanzibar wewe unasema hapa ni Dar tumuamini nani sasa View attachment 1817795
Are these two pictures the same?
Screenshot_20210613-214433~2.png



2807275_Screenshot_20210613-195056.jpg
 
Jana mlikua mnajitia nyie mnajua sana, sasa zile 150MW ziko wapi
Naona dalili ya kwamba mumepigwa tayari, kenya 55MW- tsh 310b
Tanzania 50MW- tsh 361bn

Bwhahaha!
Kuna utofauti wa aina ya chanzo cha umeme HEP ni more expensive at the beginning but cheaper in the long run. Ila for thermal generators such as gas HFO ni cheap cost ya 1MW is equivalent to USD 1 million so dont compare onions to oranges
 
Wacha kulazimisha mambo kijana wa Tandale. Picha nimepost ni hii hapa
View attachment 1817909
Unaona ikifanana na hii picha yako?
View attachment 1817910

Unaona kama hizo picha mbili zinafanana? Angalia mpangilio wa nyumba na hara barabara kati ya hizo picha mbele then uniambie kama zinafanana. Hii Dar yenu mtaikana hadi lini?
Hahaha!!tena zanzibar ndio upupu haswa mazee
Mombasa
images.jpeg-27.jpg

Dar inahemeshwa sio mchezo walai
 
Kuna utofauti wa aina ya chanzo cha umeme HEP ni more expensive at the beginning but cheaper in the long run. Ila for thermal generators such as gas HFO ni cheap cost ya 1MW is equivalent to USD 1 million so dont compare onions to oranges
Mzee tena upo timamu kweli, sasa hapo umeandika nini aisee..
Emu rudi hko juu ukasome vizuri acha kujiabisha hapa, yani tatizo lenu mnakurupuka kisha eti umekuja vziuri ili na wewe uonekane msomi..
Basi umeumbuka
 
ntaweka kichwa tu💆
Oya mwanangu juzi ulilalamikia suala la mziki wa kitambo bongo kwamba sio sawa na mziki wa leo, okay leo nimekuletea msanii kutoka bongo records kwa producer Majani, dogo anaweza sana, ladha flani kama miziki ya Joseph Haule, naamini UTAMPENDA, dogo anaitwa Rapcha usisahau kudondosha comment yako
 
Wacha kulazimisha mambo kijana wa Tandale. Picha nimepost ni hii hapa
View attachment 1817909
Unaona ikifanana na hii picha yako?
View attachment 1817910

Unaona kama hizo picha mbili zinafanana? Angalia mpangilio wa nyumba na hara barabara kati ya hizo picha mbele then uniambie kama zinafanana. Hii Dar yenu mtaikana hadi lini?
Only mad man can deny that those pictures are not the same, narudia tena kukwambia hakuna mpangilio huo wa nyumba Tz hata huyo mwandishi anasema hapo ni Zanzibar lkn pia co kweli, eti Dar unaumwa Mavi wewe, tangu lini Dar ikawa concentration ya nyumba km hiyo? Haitakuja kutokea daima dumu labda dunia iumbwe tena km anavyowaambia ichoboy
 
Back
Top Bottom