Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siyo kidogo wame-improve sana na kama tungekuwa tunatoa awards ya hii shule ya Kiswahili humu basi tungewapa diploma. Wengi sasa hvi wanaandika kiswahili kinachoeleweka tofauti na hapo zamani za kale. 😀 😀 😀 😀
Na nyie mme improve kulonga kimombo? 😂 Au ndio madandahediii...! 🤣
 



E3w-AEIXwAAODy7

Mama ana macho mlegezo lakini, mnisamehe wallahi, duh! 🧐🥴
 
Wewe Komora kwa vile umezaliwa Kisauni Mombas angalau unajua kiswahili ila hzi mbwa coco nyingine za Kenya kiswahili ilikuwa mbofu mbofu sana. Hata hivyo hongera kwa kuwa na multiple JF IDs.
Wewe ni m'bongo wa mashambani, kule vijijini, hivi "mbofu mbofu" ni mnyama yupi??? 😬😬😬😁
 
Wewe wacha utopolo, hii ni version ya mchina, walicopy design ya KE dadeq! [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Lete ya Kenya km hiyo.
 
Haku ya Mungu huu uwanja upo location nzuri sana yaani at $40 mln unaweza kubadilishwa ukawa wa kisasa kupita maelezo yaani 60,000 seats na hata kupita wa Dar!

tatizo ni wenye uwanja.. hio hela wenzio wana waza kuijengea apartments Dar
 
Siku ukithibitisha kwamba hii ni Tz najinyonga, mnaokota picha za Google mnaleta huku, Tz haijawahi kukosa eneo mpk nyumba zikajibana hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1816987
Kwani ni mara ya kwanza wewe na wenzako kukana picha za Dar hapa?

Hata wewe hiyo picha inakupa kichefuchefu, sivyo? 😂 😂 😂 😂 😂
Thibitisho hii hapa
Screenshot_20210613-214433~2.png
 
Kwani ni mara ya kwanza wewe na wenzako kukana picha za Dar hapa?

Hata wewe hiyo picha inakupa kichefuchefu, sivyo? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Thibitisho hii hapa
View attachment 1817790
Mbn mnajichanganya sasa, mwenzio anasema hapa ni Zanzibar wewe unasema hapa ni Dar tumuamini nani sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210613-195056.jpg
 
Back
Top Bottom