Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

8B2AC07A-EF3B-48A1-9E58-6543DE131432.jpeg
 
Kwa hiyo huruma uliyoweka hapo ndo ina unafuu...we kweli una uchizi,yaani ukiiangalia tu hiyo picha ya huruma unaweza kutoa machozi si sehemu ya kuishi binadamu..
😂 😂 😂 😂
Sasa utalinganidhsje huruma yenye iko na nyumba za gorofa self-contained houses na hizi uwazi hovels zenu ambapo hata pa kupumulia ndio hakuna?
images(129).jpg
 
Kutwa mnakesha Jamii forums kuliko sisi wenye mali, na ifikapo 2025 90% of kunyans will join Jamii forums
Ata FB, WhatsApp, Insta, Twitter, nk tutaongoza tu, it's in our genes...Hii ni biashara kwa ndugu zako, ukumbuke hivyo! 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom