Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Life in Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1817130
Which city is this? 😅😅😅
1623587653245.png
 
Wewe na Aljazeera hamna tofauti, ndio maana jengo lao likapigwa kombora na myahudi, sababu ya fikra za kichawi chawi kama hizi! 🤣 🤣 🤣

Sasa mimi kosa langu ni lipi? unanipiga mawe tu kama myahudi mchawi alivyompiga muarabu.
🤣 🤣 🤣
 
Mwanzoni wakati huu uzi unaanza ilikuwa ngumu kuwashawishi Watz kwamba tupo juu ya nchi zote za EA but nowadays hata wale UFIPA waliokuwa wanatukana humu wamepotea, wamebaki kuongea siasa tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nenda kwa politics section uandike huo ushuzi hapo juu ujionee kile kichapo utapata.
 
Back
Top Bottom