tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Unacompare vp kijana na mzee sasa kama sio wazimuKenya police vs Tz policeView attachment 1815638View attachment 1815639
Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
Unacompare vp kijana na mzee sasa kama sio wazimuKenya police vs Tz policeView attachment 1815638View attachment 1815639
Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
Mzungu adanganye? Pwahahahahaha! 🤣 💉💉💉Blog ya save tanzania ni ya nani??🤣🤣 yani nimecheka sana vile munavohangaika
Huyu hata bado, ni kionjo tu nimekupa! 🤣 🤣 🤣So huyu ndio mrembo huko kwenu 😂
Kwani hakuna, si ziko, mnakataa nini sasa? 😂 😂 😂unahangaika sana.... yan unakesha google kutafuta slums in Tanzania??
Wazungu na wachina wana edit sio? 😂 😂 😂Tzn kuna slums ila sio kwa kiwango hiki,hapa ni picha za ku edit
Hujaambiwa ni ya kenya, huoni ni render tu hiyo, acha uboya, anatoa mfano tu! 🤣 🤣 🤣Warudishie wenye nayo 🤣🤣👇👇
View attachment 1815696
Another loan 🤣🤣🤣🤣 chukua kwa halima na kumlipa juma
😂 😂 😂Compare the twoView attachment 1815739View attachment 1815740
Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
Analeta picha za mau mau kujiliwaza! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Tunawaelewa wabana pua, mziki imbeni... 😬😬😬Alaf ngoma zenyewe sio kali wala nini, achaneni na masuala ya mziki, hizo sio fani zenu, tuachieni wenyewe wakali wa hizi mambow
Jana mlikua mnajitia nyie mnajua sana, sasa zile 150MW ziko wapiView attachment 1815381View attachment 1815382
kenya
-55MW = $135mil = Tsh 310billions
Tanzania
-150MW = $157mil = Tsh 361billions
(wamepigwa cha juu tena na wachina walewale)


View attachment 1815381View attachment 1815382
kenya
-55MW = $135mil = Tsh 310billions
Tanzania
-150MW = $157mil = Tsh 361billions
(wamepigwa cha juu tena na wachina walewale)
Ndio maana wako hapo walipo![]()
Tzn tunasema kuna wapigaji ila Kenya wamezidi yaani nimecheka



si budget support!