Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aka Father of Tribalism.
2013968_50303865_376113303164494_3673281727775637504_n.jpg.jpg
 
debts servicing
View attachment 1818062
maana ni yake kwamba Tanzania itatumia hela ndogo kuliko wote kulipa madeni, na itatumia hela nyingi kwa maendeleo yake

kenya watatumia mara mbili yetu kulipa madeni, sisi tutatumia kufanya maendeleo, sio kulipa madeni

Naskia Both tz and kenya will spend 6bn usd kwenye dev projects na budget ya KE ni kubwa
 
Only mad man can deny that those pictures are not the same, narudia tena kukwambia hakuna mpangilio huo wa nyumba Tz hata huyo mwandishi anasema hapo ni Zanzibar lkn pia co kweli, eti Dar unaumwa Mavi wewe, tangu lini Dar ikawa concentration ya nyumba km hiyo? Haitakuja kutokea daima dumu labda dunia iumbwe tena km anavyowaambia ichoboy
💉💉💉😁
 
Duh!! Mimi siyo dada, Mimi ni dume la mbegu. Halafu Mimi siyo jobless kama wewe 24/7 upo Uhuru park kwenye free WiFi ukichat ndani ya JF.
Sasa hilo jina vipi? 😂 Bora ungeandika hata Mike Tyson tungekuelewa... 😬😬😬
 
Si ulisema sisi hatukufuzu? Ngoma sasa imebadilika hewani?!

Tulifika Nairobi na points tatu tulizochukua kwenu ilhali nyinyi mlifika Dar uswazini na takwimu mbaya zaidi kuliko mataifa zote zilizoshiriki
Nairobi slum mulifika wapi???🤣🤣🤣 ndio team zenyewe hzo gormahia hata banda la choo hawana hzo pesa huenda wapi mukipata???
 
Niliwah kusema akitokea mkenya akanionesha street za level hii mombasa nzima anitag nifunge acc🤣🤣🤣 chakushangaza wote hujinyea tu

Naomba streets and not main road🤣👇





 
Back
Top Bottom